Wakati huko Rwanda Kagame anafanya hivi. Sisi tunafanya Vile

Mtu Asiyejulikana

JF-Expert Member
Sep 11, 2017
1,694
3,982
Huku Tanzania tunawajengea nyumba mpya Viongozi waliotuibia zenye thamani ya Mamilion ya Pesa. Tunawanunulia na Magari wabadilishe kama Zawadi Kwa fedha za umma. Kagame yeye anawajengea nyumba za kisasa wananchi wake.
Screenshot_20210606-110252~2.png
 
Huo mtindo wa kuwapa watu samaki badala ya kuwapa nyavu pamoja na elimu ya uvuvi haujawahi kufanikiwa kutatua tatizo.
Huwa unatoa ufumbuzi wa muda mfupi.
 
Unashindwa kuelewa kuwa gharama iliyotumika kujenga nyumba moja tu ya kiongozi mstaafu (ambaye hana mahitaji ya nyumba) ingewza kujenga nyumba 100 za vyumba viwili ambazo zingetumiwa na watu masikini wenye mahitaji
Ndo maana wanasiasa wanatuibia sana washagundua mitanzania mingi ni mijinga sana.
 
Back
Top Bottom