Wakati hauna rivasi

Mshana Jr

Platinum Member
Aug 19, 2012
269,632
697,751
If we can turn back the time... Back to these old gold days... Chemical free world...
IMG-20180814-WA0044.jpg
 
Kama hujanywa maji kwenye hilo chungu jua ww bado ni mwaume wa dar enzi hizo nimetoka chunga mbuzi za mzee massawe nikirudi napiga maji ya mtungi
 
Kule kijijini nilikozaliwa hadi leo hiyo ndo tool ya kuhifadhaia maji ya kunywa!!! Wenyewe wanakiita ". Echitumo".
 
Back
Top Bottom