Wakati hauna rivasi

Maji yamewekwa kwenye mtungi, kwa chini kuna mchanga. Maji ya baridi mtungi unatoa kijasho chembamba.
Where are those days where apples and blackberry were just fruits, siku zilizojaa upendo wa kweli, ziko wapi siku hizo?
 
Dah,enzi hizo hapo nipo kwa Bibi Mwakaleli,Mbeya.Nashindilia viazi utamu na maziwa ya mtindi wa kienyeji namaliza na maji baridi ya mtungini.
umenikumbusha mbali saana maana nimesoma mimi mwakaleli nyie watu mnaroho nzuri sitowasahau
 
If we can turn back the time... Back to these old gold days... Chemical free world... View attachment 835551
Mkuu; Hii bidhaa ni adimu sana. Kweli wahenga walisema "wakati ni ukuta". Waliokwisha pita stage hii bc tena, lakini bado inapatikana ktk maeneo machache kwa mfano baadhi ya Wandorobo (jamii ya Akie) ambao hadi leo wanaishi katika mapango ya miti ya mibuyu na chakula chao ni Asali na nyama-porini.
 
Maji yamewekwa kwenye mtungi, kwa chini kuna mchanga. Maji ya baridi mtungi unatoa kijasho chembamba.
Where are those days where apples and blackberry were just fruits, siku zilizojaa upendo wa kweli, ziko wapi siku hizo?
Hakika hizo zilikuwa siku zilizojaa upendo, hakuna aliyenunua maji ya kunywa....ukisikia kiwi ukiwa popote unaomba maji ya kunywa na unapewa yakiwa baridi kabisa kutoka kwenye kifaa hicho.
 
Haki ya Mungu umenikumbusha kitu cha muhimu sana, nipo nakarabati makazi yangu kuna kichumba cha utalii naweka vitu vya asili.
 
Back
Top Bottom