wakati dr slaa amewasaidia wao wanamsaidia jk!!!!

Magogwajr

JF-Expert Member
Nov 16, 2010
221
20
Nimesikitishwa sana na habari niliyoipata kuwa kuna wabunge wa viti maalumu wa chadema waligoma kukubaliana na uamuzi wa chama wa kutoka nje wakati jk anahutubia sasa sipati logic kwa kuwa mtu aliyeibiwa ndiye aliyesababisha wao wakapata kuingia mjengoni sasa hawaoni kuwa bila utashi na uwezo mkubwa wa kudadavua mambo wa dr wasingepata nafasi hiyo? na je wanakubaliana na wizi alioufanya aliyekuwa anahutubia kiasi kwamba hawataki jumuiya ya kimataifa na uma kwa ujumla ujue? vp kuhusu mapambano juu ya katiba mpya ambayo imetumika kama refferee wa ziada aliye wapa ccm penati nje ya penalt box?:angry::frown:
 
Ndipo ujue kuna PUMBA na MCHELE CDM
 
Wamepewa barua za kujieleza. Majibu yao ya utetezi ndiyo yatafanya uamuzi utolewe.
Ila nidhamu ni muhimu katika chama, hivyo itabidi wakosaji wote waadhibiwe ili kudumisha nidhamu na uwajibikaji. Wajieleze kwanini wasiitwe PUMBA, kwani pumba hutupwa, na mchele hubaki.
 
katika waliogoma kuingia bungeni yupo mtoto na mkwe wa ndesamburo, wenyechama wenyewe acha slaa ambaye ni muajiriwa tu. anaubavu wakuwafanya chochote hao?
Jiulizeni tu very simple information.
mgombea ubunge aliyepitishwa Moshi mjini kwa tiketi ya chadema kwenye kikao halali cha chama alikuwa JAFARI, lakini ndesamburo alitaka mtoto wake ndo agombee alipoona wameng'ang'ani basi akasema nagombea mwenyewe basi. hicho ndo kilichotokea na kamati yote ikagwaya. halafu leo mnasema nini? Nyooo! CHADEMA inawenyewe bana na slaa ni muajiriwa tu na hata wakiamua kumtimua leo hii wanafanya.
ndo maana slaa hakupata kura yangu japokuwa namuamini. lakini timu nzima iliyonyuma yake siyo kabisa. hao wangempoleka kama wanavyotaka. jiulize helkopta zilizokuwa zinaruka hewani slaa alikuwa na uwezo wakufanya hivyo? sasa wakisema sisi ndo tuliokutangaza slaa anacho chakuhoji? YOU PEOPLE TRUST ME.
 
Back
Top Bottom