Magogwajr
JF-Expert Member
- Nov 16, 2010
- 221
- 20
Nimesikitishwa sana na habari niliyoipata kuwa kuna wabunge wa viti maalumu wa chadema waligoma kukubaliana na uamuzi wa chama wa kutoka nje wakati jk anahutubia sasa sipati logic kwa kuwa mtu aliyeibiwa ndiye aliyesababisha wao wakapata kuingia mjengoni sasa hawaoni kuwa bila utashi na uwezo mkubwa wa kudadavua mambo wa dr wasingepata nafasi hiyo? na je wanakubaliana na wizi alioufanya aliyekuwa anahutubia kiasi kwamba hawataki jumuiya ya kimataifa na uma kwa ujumla ujue? vp kuhusu mapambano juu ya katiba mpya ambayo imetumika kama refferee wa ziada aliye wapa ccm penati nje ya penalt box?:angry::frown: