Wakati CHADEMA DIGITAL ikivuna wanachama zaidi ya mil 12, CCM Kidigitali yaambulia mil 2 tu

Sio wanachama wote wanampigia kura mgombea aliepitishwa na chama.
Mimi nina kadi ya CHADEMA lakini nilimpigia kura JPM.
Wow angalia watakurushia matusi hao na kukuita msaliti.Democracy haifanyi kazi na vichwa vyao vya panzi.
 
haka kajamaa ni kapuuzi kweli.
Milioni 12, CDM hii hii!
Ndio Mkuu. Unaona kwa nini CCM ni Haramu kusema katiba mpya.
Chadema wanapewa makesi ya MICHONGO ni kwa sababu ya ukubwa wao.

Ni kosa kubwa wanafanya MaCCM kusajili digital Chama hakina watu hiki.
Ni Chama maiti.. wangebaki tu na propaganda za cha dola basi.
 
Hii ni kwa mujibu wa Katibu Mkuu wa CCM, Mh Chongolo alipokuwa anatoa takwimu za usajili wa wanachama wa CCM kwa njia ya kisasa, katika maadhimisho ya miaka 45 ya chama hicho huko Mkoani Mara, ametumia pia muda huo kumkabidhi kadi ya kidigitali mwenyekiti wake Samia Suluhu Hassan (Kumbe naye alikuwa hana!)

Hapa ndio ambapo unaweza kujiuliza, inakuwaje CCM yenye facilities zote inakwama kusajili wanachama wake kidigitali , Lakini CHADEMA yenye kesi kwenye Mahakama zote nchini Tanzania imeweza kusajili kidigitali wanachama zaidi zaidi ya milioni 12.7?

Tatizo la CCM liko wapi? Je, watu wameichoka kutokana na uduni wa maisha unaoongezeka kwa kasi , na kuifanya ccm kuwa chama cha viongozi pekee na watoto wao au kuna lingine?
Hao milioni 12 ni wasomi wa mitandaoni watu wa Twitter na facebook, hao milioni 2 karibu wote wanaamka siku ya uchaguzi na kwenda kupanga foleni ya kupiga kura.

Milioni 12 walalamikaji na wakosoaji, milioni 2 katika shida ya raha wapo na CCM.
 
Ka
Ndio Mkuu. Unaona kwa nini CCM ni Haramu kusema katiba mpya.
Chadema wanapewa makesi ya MICHONGO ni kwa sababu ya ukubwa wao.

Ni kosa kubwa wanafanya MaCCM kusajili digital Chama hakina watu hiki.
Ni Chama maiti.. wangebaki tu na propaganda za cha dola basi.
Katiba Mpya ni muhimu kwa watanzania wote
 
Hii ni kwa mujibu wa Katibu Mkuu wa CCM, Mh Chongolo alipokuwa anatoa takwimu za usajili wa wanachama wa CCM kwa njia ya kisasa, katika maadhimisho ya miaka 45 ya chama hicho huko Mkoani Mara, ametumia pia muda huo kumkabidhi kadi ya kidigitali mwenyekiti wake Samia Suluhu Hassan (Kumbe naye alikuwa hana!)

Hapa ndio ambapo unaweza kujiuliza, inakuwaje CCM yenye facilities zote inakwama kusajili wanachama wake kidigitali , Lakini CHADEMA yenye kesi kwenye Mahakama zote nchini Tanzania imeweza kusajili kidigitali wanachama zaidi zaidi ya milioni 12.7?

Tatizo la CCM liko wapi? Je, watu wameichoka kutokana na uduni wa maisha unaoongezeka kwa kasi , na kuifanya ccm kuwa chama cha viongozi pekee na watoto wao au kuna lingine?
CCM ni kusanyiko la majangili
 
15 Reactions
Reply
Back
Top Bottom