Wakati CCM wanafanya usanii, Zitto Kabwe aendelea kufungua matawi CDM - Mwanza.

Hii thread itakosa wachangiaji kwasababu inaongelea positive za zitto
Hivi unaweza kimsifia baba aliyemnunulia mtoto wake kaptula nyumbani?itakosa wachangiaji si kwa sababu ya positive za Zitto bali mtoa mada hajatoa jipya.Ungekuwa mjadala kama angefungua matawi ya CCM, we kama umeona jipya katika hili niambie.Au mnataka kuwa na mawazo finyu kwamba Zitto anafanya kazi yake binafsi?tumemtuma lazima afanye.
 
Hawezi kupewa nafsi yeyote chadema..

Maximum they can offer him ni KUWA msaidizi mwema wa maboss wake mbowe au SLaa

Tatizo hafahamu na ubishi wake unamsumbua
 
Hawezi kupewa nafsi yeyote chadema..

Maximum they can offer him ni KUWA msaidizi mwema wa maboss wake mbowe au SLaa

Tatizo hafahamu na ubishi wake unamsumbua

Mkuu acheni kumchafua Zitto.Jana katoa tamko hagombei nafasi yoyote ndani ya chama.Kwanini nyinyi wafuasi wa Magamba mnamfatafata
 
Back
Top Bottom