johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 83,891
- 141,824
Ndio, CCM kwa sasa imejikita kuwekeza katika miundombinu na muda si mrefu itaanza kumiliki viwanda.
CCM ina miradi kuanzia katika level ya tawi, wana viwanja vya michezo, sehemu za kulaza magari, hotel, majengo ya kupangisha, miradi ya ulinzi nk. Kwa maana hiyo CCM ina uwezo wa kujiendesha yenyewe bila kutegemea ruzuku ya serikali.
Kwa upande wa Chadema wao wameamua kwenda kisasa zaidi kwa kukwepa risk ya kujikita kwenye miradi kama ya CCM.
Wao wanawekeza kwenye " idadi" ya wabunge, unapokuwa na idadi kubwa ya wabunge una uhakika wa mapato yao katika michango na mfuko wa jimbo.
Mradi pekee wa Chadema wa moja kwa moja ni gazeti la Tanzania Daima ambalo linapata ushindani mkali kutoka gazeti la Uhuru na yale ya Cyprian.
Niishie hapo
Maendeleo hayana vyama!