Wakati CCM inavuna bila kunawa, Mtandao mpya, 'Wazzub' wachomoza kuwatoa Wabongo watumiaji kiaina! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wakati CCM inavuna bila kunawa, Mtandao mpya, 'Wazzub' wachomoza kuwatoa Wabongo watumiaji kiaina!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Not_Yet_Uhuru, Feb 6, 2012.

 1. Not_Yet_Uhuru

  Not_Yet_Uhuru JF-Expert Member

  #1
  Feb 6, 2012
  Joined: Oct 11, 2010
  Messages: 1,305
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Good news: Mtandao mpya wa 'wazzub' wajitokeza 'kuwatoa' atumiaji Wabongo na wengine kwa Manoti (Dola $$) wanaojiunga au kuwawezesha wengine kujiunga!!
  Wakuu JAMVINI hapa, here is a GOOD NEWS to venture in! PAMOJA NA JAMVI KUWA LA SIASA, WAKUU, TUPEANE HABARI NJEMA KUWEZESHANA PIA..., TUFAIDISHANE, NA IKIWEZEKANA TUWEZE KUCHOMOKA KATIKA MIKONO YA HAO MAFISADI WANAOTUVUNA KWA UFISADI WAO HUKU WAKIDAI ETI WAKO KTK KUVUANA MAGAMBA WAKATI YAMESHAWAKWAMA!;

  Wabongo tumepigika, sababu ni moja tu...Hatuna Utawala! FAFISADI KILA KONA!! Hela ni 'yao' na sii yetu kwa nini?? TAARIFA NJEMA IPO CHINI HAPA...Nimeipata Bure, nami naitoa bure!!

  "This is a new opportunity to gain understanding of the fast growing family of on-line empowement society, which enables you to generate good chances of revenues (in $$) and possibly change your life in a short while. Since we are all in the same rolling wheel, please enable yourself to understand this important change through online opportunities and make your opportunities effectively utilized for your gains. The Google society empowers alot of people just by referring or linking others to the Google resources and Adverts, Facebook, Twetters, etc!
  WHY NOT US! TUNAWEZA PIA!
  Kwa kubonfya katika hii link iliyopo katika mstari unaofuata chini, unajiwezesha kujiunga na kwenda moja kwa moja katika Ukurasa wa WAZZUB ambapo uweka details zako chache na kujenga profile yako ili uingie katika mzunguko wa 'kujikusanyia' maana nawe unaweza kuwaunganisha. Wabongo kibao wameshajenga 'uhakika wa $$, kimya kimya! Hapa ni kuwezeshana, hakuna kukaa kimya, kila anayeweza kuchomoka achomoke...!
  Just go through the WAZZUB WEB in this link and roll: WAZZUB - The Power of "We"!.
  By opening the link and filll some details, you can confirm, which will give you authority to invite or link all your friends on yahoo, facebook, twetter, gmail, msn and so on to enrich you, and them-self get enriched
  By having only 5 new joiners, liife changes and you get your own opportunity linked to your fellows, and gain revenues tpo when they link others via the same route as this link did for you. It takes just a few seconds, and it is a non-risky. Just a free and quick exercise.
  Needs to know more, just give me a quick response via PM!

  HAKUNA HASARA, AU CHA KUPOTEZA UKIJIUNGA, ILA FAIDA ZAIDI KAMA UTAPATA WADAU WAKO KADHAA, 'FUNGU' LINKUWA NZITO, NA FAIDA NI ZAIDI MAANA UTAKUWA KTK MZUNGUKO WA MANOTI YA DOLA ($$), WAKATI KWA WALIOKACHA HAWATAKUWA WA JINSI HATA YA KUKUKOPOA! KILA MTUMIAJI (USER) ANAO UWEZO WA KUJICHUMIA NA KUJIKUSANYIA AWEZAVYO KUWAPA CHAPUO WADAU WAKE...

  Tunajua kuwa 'Siasa hi chakula kwa wengine', na hapa Jamvini, siasa tunaiweka pamoja na hii Habari njema, ili kujenga 'chakula cha uhakika mfukoni' na huko mbeleli mafisadi wasikufanye 'LOFA' kama alivyosema Mh. ktk sherehe zao za
  Kirumba!, miaka 35 ya kuivuna nchi, .....

  Nawasilisha; TOGETHER, PAMOJA DAIMA!
  TUCHANGAMKIE...
   
 2. kipipili

  kipipili JF-Expert Member

  #2
  Feb 6, 2012
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 1,499
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 145
  aaaah wapi hatudanganyiki zaidi
   
 3. k

  kiche JF-Expert Member

  #3
  Feb 6, 2012
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 456
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  sijakuelewa,bye.
   
 4. TUJITEGEMEE

  TUJITEGEMEE JF-Expert Member

  #4
  Feb 7, 2012
  Joined: Nov 6, 2010
  Messages: 10,772
  Likes Received: 2,673
  Trophy Points: 280
  Wale waitwao'Not yet uelewa' watanufaika zaidi, maana wakisha kujiunga watakuwa"No longer Not yet uelewa"
   
Loading...