Wakati CCM inajivua, CHADEMA wanajifunika magamba 'gubigubi'

Wakudadavuwa

JF-Expert Member
Feb 17, 2016
15,582
2,000
Miaka kadhaa iliyopita CCM ilihangaika kujivua 'magamba' lugha iliyomaanisha wanachama wasio na maadili. Na sasa wanafanikiwa kwa kiasi kikubwa sura mpya zinakuja, Ndugu Polepole ambaye ameteuliwa kama Katibu wa Uenezi na Itikadi amezungumza na vyombo vya habari kwa niaba ya chama mara kadhaa bila kumung'unya maneno amesema 'mafisadi,wezi wa mali za umma na wasiolipa kodi CCM si mahala pao tena' akaendelea kusema CCM itaisimamia serikali kudumisha maadili, hakika ni maneno 'kuntu' yanayoleta matumaini mapya katika taifa hasa ukizingatia nia ya viongozi kurudisha chama kwa wananchi.

Upande wa Pili, washirika wa Ukawa chini ya Lowassa,Kingunge,Sumaye na Masha wao wamewapiga marufuku wafuasi wa vyama vyao kukemea na kupiga vita ufisadi na ukiukwaji wowote wa maadili 'kama una ushahidi nenda mahakamani', waache kila mbuzi ale urefu wa kamba yake.

Kama tujuavyo Lowassa kwa sasa pamoja ndiye mwenye 'Ukawa' pia jukumu lake kuu ni kushughulikia uenezi na mawasiliano kwani yeye ndiye msimamizi wa propaganda zote za 'ukawa' ikiwamo kuhakikisha media na waandishi wanafanya ayatakayo upande wa pili CCM imempa jukumu hili Kijana machachari Humprey Polepole asimamie uenezi na itikadi kwa kutumia maadili na taaluma.

Je kwa chadema kujifunika 'magamba' haya gubigubi watapata tija?
 
Rutashubanyuma

JF-Expert Member
Sep 24, 2010
191,072

tatizo la huu upupu ni serikali kukiri hakuna mafisadi baada ya mahakama walioianzisha tena kwaa mbwembwe na vigelegele kukosa kesi na sasa wanadai hakuna ufisadi......................sasa haya magamba yako kichwani mwa watu lakini uhalisia unawasuta.................
 
likikima

JF-Expert Member
Nov 13, 2016
914
500
Mtatoka povu sana mngemtafuta harakaharaka hicho kipolepole chenu subirin!nawapenda Lumumba mnavoish kwa matumaini!
 
Los técnicos

JF-Expert Member
Sep 14, 2014
2,663
2,000
Ndugu muanzisha mada, kwa mtazamo huru naona kama mawazo yako juu ya upinzani yako sawa ila pia kuna mapungufu kwa upande mwingine kama chama utawala wangekuwa wasafi wangukuwa wa kwanza kuyapeleka magamba kwa sheria na haki na ndilo jambo ninalosubiria ili niwape credit chama utawala
 
Wakudadavuwa

JF-Expert Member
Feb 17, 2016
15,582
2,000
tatizo la huu upupu ni serikali kukiri hakuna mafisadi baada ya mahakama walioianzisha tena kwaa mbwembwe na vigelegele kukosa kesi na sasa wanadai hakuna ufisadi......................sasa haya magamba yako kichwani mwa watu lakini uhalisia unawasuta.................
Mbona unatetemeka?..tulia mmoja mmoja mtaingia huko.
 
Kifoi

JF-Expert Member
May 12, 2007
1,121
1,500
Miaka kadhaa iliyopita CCM ilihangaika kujivua 'magamba' lugha iliyomaanisha wanachama wasio na maadili. Na sasa wanafanikiwa kwa kiasi kikubwa sura mpya zinakuja, Ndugu Polepole ambaye ameteuliwa kama Katibu wa Uenezi na Itikadi amezungumza na vyombo vya habari kwa niaba ya chama mara kadhaa bila kumung'unya maneno amesema 'mafisadi,wezi wa mali za umma na wasiolipa kodi CCM si mahala pao tena' akaendelea kusema CCM itaisimamia serikali kudumisha maadili, hakika ni maneno 'kuntu' yanayoleta matumaini mapya katika taifa hasa ukizingatia nia ya viongozi kurudisha chama kwa wananchi.

Upande wa Pili, washirika wa Ukawa chini ya Lowassa,Kingunge,Sumaye na Masha wao wamewapiga marufuku wafuasi wa vyama vyao kukemea na kupiga vita ufisadi na ukiukwaji wowote wa maadili 'kama una ushahidi nenda mahakamani', waache kila mbuzi ale urefu wa kamba yake.

Kama tujuavyo Lowassa kwa sasa pamoja ndiye mwenye 'Ukawa' pia jukumu lake kuu ni kushughulikia uenezi na mawasiliano kwani yeye ndiye msimamizi wa propaganda zote za 'ukawa' ikiwamo kuhakikisha media na waandishi wanafanya ayatakayo upande wa pili CCM imempa jukumu hili Kijana machachari Humprey Polepole asimamie uenezi na itikadi kwa kutumia maadili na taaluma.

Je kwa chadema kujifunika 'magamba' haya gubigubi watapata tija?
Hakuna lolote huwezi kuwa mwizi kama sio CCM na huwezi kuwa CCM kama sio mwizi
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom