johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 83,914
- 141,866
Kwa wengine hili ni swali jepesi sana lakini mimi limenipa ugumu fulani katika kulitafakari.
KUB Mbowe na vijana wake akina Mdee, Heche, Bulaya, Matiko, Msigwa na Mnyika ambao wote ni wabunge wa kuchaguliwa wanashindwa kuhudhuria bungeni kwa sababu wanahitajika mahakamani kujibu tuhuma zinazowakabili.
Je, isingewezekana kesi kuahirishwa ili kuwapa wananchi waliowachagua wabunge hawa kupata haki yao ya kikatiba ya kuwakilishwa bungeni?
Je, huu si mgogoro/ mgongano?!!
Maendeleo hayana vyama!