Wakati Bunge la Kenya likipinga Mzigo wa Kodi kwa Wananchi, Bunge letu wanapitisha kwa kishindo

MURUSI

JF-Expert Member
Jun 25, 2013
4,472
8,692
Huku Bunge la Tanzania likitishiwa na Ndugai kwamba wasipo pitisha Bajeti Rais atavunja Bunge, Kwa upande wa Majirani zetu kwao ni tofauti kabisa.

Tanzania Bunge lilihitimisha Mjadala wa bajeti kwa kupitisha kwa kishindo bila hata mabadiliko.

Pamoja na utata wa kodi kama ya majengo kulipwa kwa kutumia LUKU na pia kodi ya simu ila Bunge wamepitisha tena kwa kishindo.

Kenya kwa upande wao Wabunge kwa umoja wao wamepinga bajeti na hivyo kubidi ifanyiwe mabadiliko, hii sio mara ya kwanza kwa wao kupinga Bajeti, ni swala la kawaida kwao.

Bunge la Tanzania ukifuatilia kuanzia Spika yuko pale kuitetea Serikali kwa nguvu zote, Wabunge ukifuatilia wako pale kuitetea Serikali na si kusimamia.

Bunge limejaa wanafikia waganga njaa, wakina Msukuma, watapinga kinafiki siku ya kupitisha Bajeti wanapitisha kwa asilimia zote.

Haingii akilini kwamba Kodi ya nyumba itamuhusu Mwenye nyumba ilihali inajulikana fika kabisa mifumo ya upangaji kwa Tanzania kwamba swala la umeme halimuhusu mwenye nyumba kamwe.

Kwa hio hata Serikali ikija na Bajeti ya Hovyo kiasi gani itapita tu kwa sababu wabunge wanaogopa Bunge kuvunjwa?

Neno Wanjiku Kenya linatumika kama huku neno Wanyonge, wakayi huku tunatumia Wanyonge Kenya huwa wanatumia neno Wanjiku.

Copy 1.jpg
Copy 2.jpg
 
Mwenge kazi yake ni kuharibu fahamu za watanzania hauna kazi nyingine
Ni Agano la kuzimu. Watu wanakuwa na uoga wa Kijinga kabasi . Elimu ni hivyo haina international standards kabisa lakini wanaing'ang'ania kwa sababu wanajua wanachokifanya
Wasomi wetu fahamu zao zimetiwa Giza hata hawezi kuwashindanisha na nchi yeyote Afrika Mashariki
Ni wajanja tu wakiwa hapa mtoe nje tu hata hapo Uganda anaufyata mkia kaa mbwa
 
Well said
 
Kwasababu wanajua wakipitisha watakiona cha moto,!

Unakumbuka raia waliwahi kupeleka nguruwe bungeni,

Sisi hapa tuko busy kusain petition ya kumtoa diamond BET!

Angalia toka juzi hapa jf nyuzi za majungu kwa wateuliwa wa Samia zilikuwa zinamiminika kila baada ya dk 3

Wakati hiyo kodi inatangazwa uzi wake ulikuwa una coments 94 huku ule wa Sabaya ukiwa na coments 1000+
Watu wakishangilia kwamba mama kawapa zawadi.

Nashauri kodi iongozwe mara 10 zaidi ili kuwakomoa mataga.
 
Na hisi sijui kuna madawa watawala wanatumia kupumbaza raia make si kwa kiwango hiki asiee,
 
Sema Genge la CCM na sio Bunge! Tangu lini kwenye Ulimwengu wa watu walioelimika ukakuta Bunge la ajabu kama hili? Wabunge wanazungumzia kuongezewa mishahara na kulipwa kwa us dollars?
Lakini kipindi cha nyuma kulikuwa na Bunge la Wabunge wengi wa CCM ila kulikuwa na amsha amsha za kutosha, kipindi hiki ndo naona tuna Bungr la ajabu kuwahi kutokea likichagizwa na Spika wao wa Bunge
 
Kwasababu wanajua wakipitisha watakiona cha moto,!

Unakumbuka raia waliwahi kupeleka nguruwe bungeni,

Sisi hapa tuko busy kusain petition ya kumtoa diamond BET!

Angalia toka juzi hapa jf nyuzi za majungu kwa wateuliwa wa Samia zilikuwa zinamiminika kila baada ya dk 3

Wakati hiyo kodi inatangazwa uzi wake ulikuwa una coments 94 huku ule wa Sabaya ukiwa na coments 1000+
Watu wakishangilia kwamba mama kawapa zawadi.

Nashauri kodi iongozwe mara 10 zaidi ili kuwakomoa mataga.
Hahaaaa Mataga wapi mkuu wakati tunaumia wote, Shida kuu ni wananchi kuona sio jukumu lao, watu kama Wakina Tale utashangaa wanarudi Bungeni kwa kishindo
 
Mkuu nakuhakikishia.

Sisi majungu ndio tuyaweza ila kupigania kitu flani hatuwezi
 
Kwa Tanzania hi hakuna kazi rahisi zaidi kama ya ubunge, hutumii akili yeyote na bado mzigo wa kutosha unaingia kwa account; anyway na ndio maana tunataka kuwaongezea posho na mshahara but usiniulize source of fund inatoka wapi maana bajeti tayari ndio hiyo imeisha toka.
Kuwalinganisha wabunge wa Kenya na Tanzania ni kama kuikosea adabu sana taaluma, huku kwetu dereva wa mbunge anatakiwa awe walau form four wakati huyo anae endeshwa na of course huyo anae endeshwa ndiye anaepitisha hizi bajeti pamoja na kutunga sheria za nchi, hana sababu ya kwenda darasani, yeye ajue kusoma na kuandika tu, baasi yaani.
 
Huku Bunge la Tanzania likitishiwa na Ndugai kwamba wasipo pitisha Bajeti Rais atavunja Bunge, Kwa upande wa Majirani zetu kwao ni tofauti kabisa.

Tanzania Bunge lilihitimisha Mjadala wa bajeti kwa kupitisha kwa kishindo bila hata mabadiliko.

Pamoja na utata wa kodi kama ya majengo kulipwa kwa kutumia LUKU na pia kodi ya simu ila Bunge wamepitisha tena kwa kishindo.

Kenya kwa upande wao Wabunge kwa umoja wao wamepinga bajeti na hivyo kubidi ifanyiwe mabadiliko, hii sio mara ya kwanza kwa wao kupinha Bajeti, ni swala la kawaida kwao.

Bunge la Tanzania ukifuatilia kuaniza Spika yuko pale kuitetea Serikali kwa nguvu zote, Wabunge ukifuatilia wako pale kuitetea Serikali na si kusimamia.

Bunge limejaa wanafikia waganga njaa, wakina Msukuma, watapinga kinafiki siku ya kupitisha Bajeti wanapitisha kwa asilimia zote.

Haingii akilini kwamba Kodi ya nyumba itamuhusu Mwenye nyumba ilihali inajulikana fika kabisa mifumo ya upangaji kwa Tanzania kwamba swala la umeme halimuhusu mwenye nyumba kamwe.

Kwa hio hata Serikali ikoja na Bajeti ya Hovyo kiasi gani itapita tu kwa sababu wabunge wanaogopa Bunge kuvunjwa?

Neno Wanjiku kenya linatumika kama huku neno Wanyonge, wakayi huku tunatumia Wanyonge Kenya huwa wanatumia neno Wanjiku.

View attachment 1827188View attachment 1827189
Tanzania ni nchi kubwa isiyo na maono.
 
Kwa Tanzania hi hakuna kazi rahisi zaidi kama ya ubunge, hutumii akili yeyote na bado mzigo wa kutosha unaingia kwa account; anyway na ndio maana tunataka kuwaongezea posho na mshahara but usiniulize source of fund inatoka wapi maana bajeti tayari ndio hiyo imeisha toka.
Kuwalinganisha wabunge wa Kenya na Tanzania ni kama kuikosea adabu sana taaluma, huku kwetu dereva wa mbunge anatakiwa awe walau form four wakati huyo anae endeshwa na of course huyo anae endeshwa ndiye anaepitisha hizi bajeti pamoja na kutunga sheria za nchi, hana sababu ya kwenda darasani, yeye ajue kusoma na kuandika tu, baasi yaani.
Ndo wakina Msukuma wale, ana force tuone Darasa la saba ni wa muhimu sana
 
Back
Top Bottom