Wakati Barrick ...

BAK

JF-Expert Member
Feb 11, 2007
124,790
288,006
...na shareholders wao wakiendelea kutajirika kwa bei kubwa ya dhahabu katika soko la dunia, Watanzania bado hatujaona manufaa yoyote ya rasilimali yetu hiyo tuliyosaini 'mikataba ya siri' inayoonyesha bei dhahabu ya $238.

Gold rallies to record
ATUL PRAKASH AND VERONICA BROWN

Reuters

January 2, 2008 at 4:27 PM EST

NEW YORK — Gold prices swept to a record high Wednesday above the key $850-an-ounce mark, driven by surging oil, a weaker U.S. dollar and simmering geopolitical tensions that polished its safe-haven credentials.

Other metals jumped on bullion's bandwagon, with platinum scoring a record high, silver at its highest since mid November and palladium at two-month highs.

Spot gold surged to a record $861.10 (U.S.) an ounce — surpassing the $850 fixing high of January, 1980.

It later backtracked slightly to $855.70/$856.50 in New York at 2:25 p.m. EST, compared with $832.70/833.50 quoted late in New York on Monday.


Most-active gold futures for February delivery settled up $22, or 2.6 per cent, at $860 an ounce on the Comex metals division of the New York Mercantile Exchange, after surging to $864.90, a contract high.

“It's not surprising, given that gold's a safe-haven asset. It's reflective of the fact there is risk aversion in the market in the New Year,” said Phylis Papadavid, strategist at Socgen.
 
Ndipo wabongo tutakapolia na kusaga meno wakati wenzetu wakikenua meno yao.
 
Juzi Sinclair amewaandikia washirika wake kuwa kuna uwezekano kwa mwaka huu dhahabu kufikia dola 1200 kwa wakia.
 
Juzi Sinclair amewaandikia washirika wake kuwa kuna uwezekano kwa mwaka huu dhahabu kufikia dola 1200 kwa wakia.

wewe ni mshirika wao nini?umepata wapi hizi habari?Au mkuu wa kaya kakambia kwa sababu yeye ni mshirika wa TAnzania Explorers
 
Back
Top Bottom