Wakandrasi wa kichina | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wakandrasi wa kichina

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Njowepo, Jul 1, 2011.

 1. Njowepo

  Njowepo JF-Expert Member

  #1
  Jul 1, 2011
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 9,296
  Likes Received: 381
  Trophy Points: 180
  Jamani kuna lundo la wachina wanajenga barabara ya iringa kwenda dodoma kupitia Mtera.
  Ivi uhamiaji wote hawa mumewapitisha waje fanya kazi ata za watanzania wenzetu?mpaka kuendesha magreda jamani khaaa.
  Alafu wengine ni kama under18 vile.
   
 2. njiwa

  njiwa JF-Expert Member

  #2
  Jul 1, 2011
  Joined: Apr 16, 2009
  Messages: 11,076
  Likes Received: 1,811
  Trophy Points: 280
  wachina hawana makuu! ... wa tz usikute barabara yenyewe mmetegenewa kwa bei ya msaada alafu unataka ulete masharti.. mchina ni mtu chep labor .. usikute mshahara wanaolipwa hao wafanyakazi M TZ ataona kama uonevu.. na analipwa kidogo
   
Loading...