Wakandarasi wa ndani sio wa kuaminika ujenzi wa hostel za UDSM umedhibitisha.

Wanaitwa Makandarasi Wazalendo sio Makandarasi wa Ndani....
Wako ovyo sana halafu eti wamesomea miaka 4 engineering
 
Kuna makandarasi wazuri tu hapa nchini kama Masasi n.k wangepewa tenda wangejenga vizuri tu. Hapo tatizo ni TBA.
 
Back
Top Bottom