Wakandarasi Tunafilisika. Serikali iangalie utaratibu mzuri wa tenda

Tabutupu

JF-Expert Member
Nov 26, 2010
13,108
18,325
Utoaji wa tenda awamu hii umekua mgumu kwa wakandarasi.wazawa kuzipata tenda za serikali.

Serikali itufikirie.

===

WAKANDARASI WALALAMIKIA KUACHWA KWENYE MIRADI: Wakandarasi wazawa wamesema wako hatarini kupotea huku wengine wakidai wameshafilisika kutokana na kukosa kazi wakati wakiendelea kulipa kodi za Serikali ambazo zimewaingiza kwenye madeni makubwa.

Wakizungumza wakati wao Mkutano wao Mkuu wa Tisa uliofanyika jijini Dar es salaam wamedai hali hiyo inatokana na kutoshirikishwa katika miradi mikubwa ya Serikali.
 
Kampuni ya Songoro Marine ni Wazawa, NHC ni ya Kizawa, TBA wazawa, Suma JKT wazawa, Magereza Wazawa, Mayanga ni Wazawa, Nyanza Construction Wazawa, M/S Saimoo ni Wazawa nk nk zooote hizo zinafanyakazi kwasasa maeneo tofauti Nchini. Tatizo Kampuni nyingi za Wazawa zimejaaa Ukanjanja na Udanganyifu mwingi mnooo.

Mfano kampuni ya Mzawa Nyakirang'anyi Construction huko Bunda Mradi wa Bil 6 amevuta pessa hakuna hata tone la Maji!
Wazawa tumegeuka Waizi sana kwenye miradi ya Serikali, naona kinano kiendeleee tu labda tutapata akili ya Uadilifu.
 
Hizo kampuni zote ulizo zitaja kama NHC na JKT ni serikali
Hizo Zingine ni za family members Chunguza utaona ni mume mwenza na pwa nk
Tumechoka kutawaliwa kidikteta ki Familia
We can't breathe
 
Hao wanataka nn?
Wametumwa na mabeberu yaani haya mabeberu yapo kila sehem
Vijana wengi wa vyuo huwa wanapata ajira na field kupitia kwa wakandarasi wetu. Lakini awamu hii ni ngumu mno.

Wakandarasi hawana kazi.
yaani upewe kazi wakati uwezo huna?
Sisi Mayanga Constructions tunasema hali ni nzuri mno 😎

Back
Top Bottom