Wakandarasi Acheni hiyo tabia !

Chipompo

JF-Expert Member
Jan 9, 2017
616
411
Baadhi ya Wakandarasi tabia zao hazifai kibnadam,Hufungua kampuni wakati ujuzi wa kazihiyo hana,ok hilo sioshida sana wala tatizo sababu unaruhusiwa kutafuta wataalam ili waweze kufanya kazihizo au majukumu hayo,kibaya zaidi nipale kampuni inapopata kazi ataanza kuchachawa kutafuta wakumsaidia au wenye kuiweza au ujuzi wa kazihiyo, ikifikiahapo mkandarasi anakua mnyenyekevu na mpole saanaaa kiasi kwamba utasema kwelihuyu anastahili kusaidiwa,Ndgu yanguu kumbe ni bakora yenye kisu ndani!!!,Mtaalamu unapatikana kazi inanza tena inaanza kwa mazingira magumu sana kiasikwamba unajitoa kwamoyo wote kanakwamba ile kazi niyakwako,SASA IMEFIKIA KWENYE HELA LOOOOO!! JAMAA AMEBADILIKA AMESAHAU YOOTE ULIYO YAFANYA MWISHO WA SIKU ANAKUPOTEZEA!!!! anakuona sio kitu bila kufikiria bila kujitoa kwamoyo ASINGE FIKIA KWENYE huo ufalme anaouona mbele yake
 
Okay, kuna kitu anacho wewe huna,na kuna kitu unacho yeye hana, cheza karata zako vizuri next time, get a win- win scenario.
 
Don una vyet na elimu yako, mkandarasi ana hela ndo maana akafungua kampuni kwa kutumia vyeti vyako ni vizuri mkakaa chini mkawekeana taratibu vyema kisheria kuliko kulia lia na ID feki hapa jukaani hatajua!
 
Pole sana mkuu industry ya kandaras bongo inaumiza sana younger eng weng wanamachoz na majonz makubwa sana na mwokoz kwao ni kama njozi hakuna tumain industry inaendeshwa na watu ambao hawathamini ujuz ambao vijana wanao
 
Hatuachi,kama unakubali kufanya kazi bila maandishi/mkataba utakuwa unalizwa kila siku wa kulaumiwa ni wewe fundi mjuvi unaekubali kufanya kazi kiholela
 
Back
Top Bottom