COARTEM
JF-Expert Member
- Nov 26, 2013
- 3,600
- 3,651
Msimamizi wa ukusanyaji ada za magari yanayoingia na kutoka stendi ya mabasi msamvu Morogoro jana amekana kuwa ada wanayo ikusanya hapo stendi haimuhusu Mkurugenzi waa Manispaa ya Morogoro na wala haiingii kwenye mapato ya Manispaa.
SWALI: Haya makusanyo yanakwenda wapi?
SWALI: Haya makusanyo yanakwenda wapi?