Wakali wa "terminal" | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wakali wa "terminal"

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Cassava, Jul 9, 2011.

 1. Cassava

  Cassava JF-Expert Member

  #1
  Jul 9, 2011
  Joined: Oct 11, 2010
  Messages: 282
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  Ndugu wadau, jana nikiangalia mechi ya yanga na St Geoarge kupitia super sport 9, niliona kitambaa likubwa kwa upande wa mashabiki wa yanga kimeandikwa "WAKALI WA TERMINAL" naomba kujuwa wakali wa terminal hawa jamaa wanamaanisha nini?

  Nawasilisha
   
Loading...