Wakali wa Music Naomba Kujua Huu ni Wimbo Gani Wakuu...?

Niache Nteseke

JF-Expert Member
Apr 29, 2020
1,952
2,166
Heshima kwenu wakuu...?

Naomba msaada wa kujua huu Wimbo niliuskia kama miaka mitatu nyuma wakuu.

Huu Wimbo ni Wimbo wa South Africa kama skosei, upo kimajonzi flani hivi, natumai kuna wadau ambao ni music addicted wanaweza kutupa jina la Wimbo au walioimba Wimbo huu.

Natanguliza shukran zangu za dhati kabisa kwenu wakuu.

Thanks a lot...!
 
Attachments

  • Kujee.aac
    322 KB · Views: 24

Apo umeimba wewe au ndo waimbaji wenyewe
 
Unapenda nyimbo za kulialia

Hapana kiongozi mi naskiliza muziki wowote ambao ni mzuri mkuu.

Ngoja nikupe hii ngoma nawe uiskilize then uone kama ni ya kulia lia au laa...!
 
Attachments

  • Anthony_B_-_Chill_Out___Cali_Roots_Riddim_2020___Produced_by_Collie_Buddz__Official_Music_Vide...mp4
    17.9 MB
Karibu Kiongozi!
I am versatile when it comes to music. Hii Sondela naifahamu vizuri.
Furahia hiyo song.

Jamani...!

Uliposema VERSATILE you've taken my mind to another WORLD Belly...!

I really need to be close to you just to know many things that you know my loveliset please...!

💕
 
Heshima kwenu wakuu...?

Naomba msaada wa kujua huu Wimbo niliuskia kama miaka mitatu nyuma wakuu.

Huu Wimbo ni Wimbo wa South Africa kama skosei, upo kimajonzi flani hivi, natumai kuna wadau ambao ni music addicted wanaweza kutupa jina la Wimbo au walioimba Wimbo huu.

Natanguliza shukran zangu za dhati kabisa kwenu wakuu.

Thanks a lot...!
Nadhani ni ngoma ya mafikizolo ile wanasemaga i will meet you at the River walimuimbia mwenzao alivyovutaga...NIMEKUEKEA link hapo ujaribu kama ni hyo

Similar Discussions

Back
Top Bottom