Mzee
JF-Expert Member
- Feb 2, 2011
- 13,597
- 5,788
Salaam wana JF
Kuna swali juzi nimeulizwa na mtoto angu mdogo. Sikuweza kumjibu vizur. Ktk saa, mfano saa mbili kwa kiswahili ni 2 ila kwa kizungu ni 8. Akaniuliza sababu gani inayofanya namba ktk saa zibadilike kutokana na lugha, na kwanini iwe ktk masaa tu na wala si ktk dk na sekunde?..
Ila msinicheke mwenzenu. Nisaidieni!!