wakali wa Ds 101,development studies,fungua hapa utoe maoni,maana ni zaid ya ubishi

Mao ze dong

JF-Expert Member
Aug 28, 2012
941
1,006
wakali hapa kuna swali tumebishana paka watu wakagombana wengine tukiishia kucheka,hii inaonyesha utofauti wa kimtizamo kwa wasomi muda mwingine hupelekea ugomvi.kwa kuwa kwa wanafunz wote mlioko vyuo vikuu mnasoma Ds naomba utoe mchango wako kutoka kwenye swali hili kuwa ni nini hasa kinaitajika na ikiwezekana uyataje.

Swali;
"marx believed that,ownership of the means of production determines the distribution of wealth,power and even ideas in the society.The power of the wealthy is derived not just from control of economy but from their control of political,educational and religious institution.Using tanzania as a case study,discuss the above contention."

nasubiri mitazamo yenu kutoka vyuo mbali mbali.
 
vtbu lbrary c vpo ama? Shviji pia wrote abt ths..DS101 t means we wa UDSM apo,eb umizen vchwa bwana! Af umeambiwa DISCUSS, t means hapo eitha syds za majibu ni sawa,ts al abt arguments na kutetea points,so ucjali majbu yakipshana..ndo maana ya discusn io
 
poa,ila mtazamo wako ni upi wewe binafsi
 
Usimwamin marx anachochea vurugu!!!

Kweli jamaa ni mchochezi wa vurugu lakini falsafa zake zina apply sana kwenye maisha yetu ya sasa kwa mfano ile ya "Conflicts is an engine for social change towards development" hapa bongo tungekinukisha kwa hawa mafisadi pasikalike nakwambia sasa hivi tungekuwa level nyingine kabisa za kimaendeleo. Pia refer France revolution so jamaa alikuwa ni miongoni mwa wanafalsafa makini kwa upande mwingine.
 
vtbu lbrary c vpo ama? Shviji pia wrote abt ths..DS101 t means we wa UDSM apo,eb umizen vchwa bwana! Af umeambiwa DISCUSS, t means hapo eitha syds za majibu ni sawa,ts al abt arguments na kutetea points,so ucjali majbu yakipshana..ndo maana ya discusn io

Wewe MFYU siku nyingine andika vizuri, sawa
 
Last edited by a moderator:
Muone Mdogo wangu Prof. Severine Rugumamu pale IDS Mlimani (kama atakuwepo nchini) atakusaidia
 
We dogo acha uvivu wewe, we upewe individual assignment afu unataka sie tukafanyie. Najua umegoggle lakini ukubaatika kuona kitu, so umiza kichwa dogo
 
Usjali ni pm ntakusaidia,nk masterz hapo ud tena kwa kuwa uko 1st yr utakua mtu mzuri sana kunitaftia mademu wakali wa undgraduate.
 
Ubishi wenu ukowapi sasa ili tujue pa kuanzia?

ubish kuna wengine wanasema tunaangalia jinsi political,social and religion zinavyochangia economic development na upande mwingine wanasema tunaangalia how government control education,political and qeligion institution to obtain the intended result for national development.yaani serekali inasera gani katika elimu,dini na siasa katika kuakikisha vitu hv vinaleta maendeleo?hapo ndo kuna utata
 
We dogo acha uvivu wewe, we upewe individual assignment afu unataka sie tukafanyie. Najua umegoggle lakini ukubaatika kuona kitu, so umiza kichwa dogo

kama huna mtizamo bora ukae kimya.Bongo elimu yetu ipo juu kuliko nchi zote?mbona nchi nying wana academic blogs kwaajili ya kuulizana maswali is that mean elimu yao ni uchwara?hapana,mtandao kama yahoo answers na ask.com watu wanauliza maswali ili kupewa mtizamo wa swali linaitaji nini then majibu wanatafuta wenyewe,mimi siitaji introduction,mainbody had conclution ila i want to know what the question need so as i can work on that direction,i have already judge the question amd com with 2 contradictions,so i seek for direction btn those two point of view.PROF anapowaelekeza watu jins ya kuandika reserch or project(academic) report anakua amewasaidia au katoa maelezo the way inavyotakiwa kuwa?sasa wewe kunieleza swali lipo upande gan utakua umelifanya au umeact as a director!!kashfa zingine hazina mcing,kama na wewe swali limekukimbiza umetoka empty kaa kimya waeche wengine wachangie
 
Haya ni matatizo ya usomi wetu wa sasa. Tunaitwa wakali wa DS 101. Na sisi kwa sababu ya sifa tuliyopewa, tunaanza kuchangia. Hivi hawa wadogo ambao hadi sasa kwenda library ni tatizo tunawasaidia au ndo tunawalemaza. My people, discussion nzuri ni ile unayoweza kuifanya baada ya kuelewa vizuri theory. This is neither at cognitive level of thinking neither it is at procedural level but rather Higher Order of Thinking at which you learn how to link the theories to the real world. Sasa mitazamo ya JF itakusaidia nini. Go back and read and understand well the theoretical aspect of the matter.
 
wakali hapa kuna swali tumebishana paka watu wakagombana wengine tukiishia kucheka,hii inaonyesha utofauti wa kimtizamo kwa wasomi muda mwingine hupelekea ugomvi.kwa kuwa kwa wanafunz wote mlioko vyuo vikuu mnasoma Ds naomba utoe mchango wako kutoka kwenye swali hili kuwa ni nini hasa kinaitajika na ikiwezekana uyataje.

Swali;
"marx believed that,ownership of the means of production determines the distribution of wealth,power and even ideas in the society.The power of the wealthy is derived not just from control of economy but from their control of political,educational and religious institution.Using tanzania as a case study,discuss the above contention."

nasubiri mitazamo yenu kutoka vyuo mbali mbali.

Aliyekwambia jf ni wanafunzi nani?wewe unatafuta kukopi jibu swali hilo usitake tukupe majibu.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom