wakali wa Ds 101,development studies,fungua hapa utoe maoni,maana ni zaid ya ubishi

Mao ze dong

JF-Expert Member
Aug 28, 2012
920
929
Oya wakali hapa kuna swali tumebishana paka watu wakagombana wengine tukiishia kucheka,hii inaonyesha utofauti wa kimtizamo kwa wasomi muda mwingine hupelekea ugomvi.kwa kuwa kwa wanafunz wote mlioko vyuoni mnasoma Ds naomba utoe mchango wako kutoka kwenye swali hili kuwa ni nini hasa kinaitajika na ikiwezekana uyataje.

Swali;
"marx believed that,ownership of the means of production determines the distribution of wealth,power and even ideas in the society.The power of the wealthy is derived not just from control of economy but from their control of political,educational and religious institution.Using tanzania as a case study,discuss the above contention."

nasubiri mitazamo yenu kutoka vyuo mbali mbali.
 
mansakankanmusa

JF-Expert Member
Sep 30, 2010
4,166
776
unachekesha sana, ugomvi uko wapi, unajua kwamaba huwezi ukajibujibu maswali kama hujasoma vitabu sahihi, ili falsafa utakapata kwenye vitabu husika vikuwezeshe uelezee marx idea kwa Tanzania,

kwa ufupi swlai liko wazi sana. Na lililenga Tanzania kwa kuwa Tz imekuwa nchi ya kijamaa japo kwa kipindi hicho, na sasa kupelekea watanzania na serikali yao kuwa na azimio la arusha, kama lilivyokuja azimio la zanzibar kuvunja yale mawazo sahihi ya ujamaa, hapa tunazungumzia mapebari wa kitanzania na presha za magharibi kuvunja ujamaa. mwisho wa siku nyerere kukaa pembeni na kupisha uchumi wa soko huru.

Baada ya utangulizi huu sasa nirudi kwenye swala la msingi? unaswali kabla ya sijaendelea?
 
Kongosho

JF-Expert Member
Mar 21, 2011
36,006
23,862
matumizi ya jf yamepanda, hadi tunadiskass?

Kufaulu na kufika chuo raha
 
GOOGLE

JF-Expert Member
Oct 29, 2012
1,884
1,116
Huyu dogo wa SUA nakumbuka hii coz nimeisoma first year mwaka2008. Dogo soma tu.
 
Mao ze dong

JF-Expert Member
Aug 28, 2012
920
929
unachekesha sana, ugomvi uko wapi, unajua kwamaba huwezi ukajibujibu maswali kama hujasoma vitabu sahihi, ili falsafa utakapata kwenye vitabu husika vikuwezeshe uelezee marx idea kwa Tanzania,

kwa ufupi swlai liko wazi sana. Na lililenga Tanzania kwa kuwa Tz imekuwa nchi ya kijamaa japo kwa kipindi hicho, na sasa kupelekea watanzania na serikali yao kuwa na azimio la arusha, kama lilivyokuja azimio la zanzibar kuvunja yale mawazo sahihi ya ujamaa, hapa tunazungumzia mapebari wa kitanzania na presha za magharibi kuvunja ujamaa. mwisho wa siku nyerere kukaa pembeni na kupisha uchumi wa soko huru.

Baada ya utangulizi huu sasa nirudi kwenye swala la msingi? unaswali kabla ya sijaendelea?

introduction yako nimeisoma ila nataka kujua swali linaitaji point zip angalau ntajie mbili zingine ntasaka mwenyewe
 
mansakankanmusa

JF-Expert Member
Sep 30, 2010
4,166
776
introduction yako nimeisoma ila nataka kujua swali linaitaji point zip angalau ntajie mbili zingine ntasaka mwenyewe

hewalaaa! sasa kwa Tanzania zungumzia katiba inavyotoa maelekezo kwa kila jambo lazima lifwate kile kilichoelekezwa kwenye katiba, hata hivyo ni lazima uzungumzie namna bunge sauti ya wananchi na namna ambavyo kamati na mapitio ,mbalimbali yanavyoamua au kuidhinisha matumizi, hapa ndio pale kwenye ownership of means of....kwa kuwa kila kitu ni chetu sote, kwa sasa hitaji la katiba mpya ni mfn mzuri sana wa hiyo power, wealth na ideas. upo hapo. kama msomi rejelea kitabu chochote ulichokisoma kama ni issa shivj, nyerere, mao nk wanasemeaje hapo. u

upande wa pili wa swali unataka useme kazi ya vyombo mbalimbali ktk umma wa Tanzania mf, madhehebu,Zungumzia (OIC na Vatican) vinanguvu gani ktk kusimamia mali/utajiri wa nchi husika kwa watu wao. Mashirika na vikundi na wanamitandao na wanaharakati mashirika ya kimataifa nk yananafasi gani ktk hili.

si kwamba haya ni majibu, ni mawazo yangu, sio swali la kutoa point ni kujadili, hata hivyo unapaswa kujadili pande nne za swali, prons na cons, uhalisia wa idea zake marx na upotoshaji(nadharia) zake

mwisho
 
thanx bro kichwa kimeanza kufunguka kwenye swali.ika kwenye dini tu ndo nnakosa mwanga jins zinavyochangia kupatikana kwa wealth of a nation
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

0 Reactions
Reply
Top Bottom