Uchaguzi 2020 Namba 1: Wakala wa Tundu Lissu, David Jumbe akabidhiwa fomu ya kugombea Urais kupitia CHADEMA

Salary Slip

JF-Expert Member
Apr 3, 2012
46,994
144,329
Mkurugenzi wa Uchaguzi CHADEMA(kulia), akimkabidhi Fomu ya Kuomba Uteuzi Kugombea Nafasi ya Urais kupitia CHADEMA, Wakala wa Mhe. Tundu Lissu, David Jumbe, leo Jumamosi 04/07/2020, Makao Makuu ya Chadema, Kinondoni, Dar es Salaam.

1593857465041.png

1593857521654.png
 
Uraisi una wakala!!!! Mtu haendi personally eeee hii Kali

Ile barua Lisu aliandika kuomba kuteuliwa Uraisi kazi yake ilikuwa Nini?
Hii ipo kwa mawakala wa mabeberu (chadema)wakala wa mabeberu ana chukua fomu kwa kutumia wakala,
 
Back
Top Bottom