Wakala wa Meddie Kagere, Mnyarwanda Patrick Gakumba atoa siri nzito za Kocha wa Simba SC Didier Gomez Da Rosa

Hujajua kanuni za Sub tano, zinavyofanyika kwenye mashindano yale. Sub ni tano ila utaingiza kwa awamu tatu tu, hivyo awamu ya kwa unaweza kuingiza Sub tatu, inayofuata mmoja alafu unamalizia mmoja, ama utaingiza wawili wawili, ama wote kwa mpigo, ilimradi uwagawe kwa awamu tatu.
Hivyo Simba waliingiza Mmoja mmoja kwa awamu tatu, Na kuhesabika wamemaliza Sub.
Nimepata somo pia.
 
Nataka kushawishika na huo ufafanuzi wa sub tato ila katika awamu tatu tu. Ikizingatiwa simba waliingiza kwa awamu ya kwanza Morrison
Awamu ya pili nyoni
Awamu ya tatu Kennedy
Na kaizer waliingiza watu wa wawili kati awamu moja, ambayo kwayo ilikua ni awamu ya pili ya sub zao. Huyo wa DKK 59 na ya 60.
Mwenye hiyo kanuni kimaandishi aiambatanishe hapa ili tumalize utata.
Screenshot_20210525-111530.jpg
Screenshot_20210525-111455.jpg
 
Kaizer chiefs walifanya sub nne kwa mikupuo mitatu. Simba hawakuwa na nafasi tena ndio maana hata hao kina Kagere hawakuwa wanapasha maana hakukuwa na nafasi tena.
Subs Nne ( 4 ) kwa Mikupuo Mitatu ( 3 ) wakati Waliingiza Wachezaji wao Watano ( 5 ) wote? Mbona mnatuchanganya kiasi hiki Jamani?
 
Hii ni kutafuta mchawi tu, Simba walifanya makosa game ya kwanza kuruhusu goli nne.
Ni kweli, tuaangalia tulipoangukia badala ya kuangalia tulipojikwaa, na kama tungefuzu haya yote yasingesemwa.

Narudia, makosa yalikuwa game ya kwanza kuruhusu mvua ya mabao
 
Ni kweli, tuaangalia tulipoangukia badala ya kuangalia tulipojikwaa, na kama tungefuzu haya yote yasingesemwa.

Narudia, makosa yalikuwa game ya kwanza kuruhusu mvua ya mabao

Kabisa, na ushambuliaji butu, mfano angemuingiza Morrison ile game ya kwanza baada tu ya bao mbili, kidogo ingeweza kusaidia.
 
Back
Top Bottom