Wakala wa kupinga sensa akamatwa Singida akigawa vipeperushi vya kugomea sensa kwa Waislam

Hii mijinga inapigania vitu vidogo sana, Hivi mtu mwenye akili timamu ataweza kuzingatia dini za watu wakati wa kupanga mawakala ili kuwe na uwiano? kigezo hapa ni sifa za watu na siyo dini zao.

Ni vizuri ukazingatia. Asifuye Mvua imemnyea. Nakushauri ujitume kusoma ujue nchi yako vizuri kwa kuanzia soma kitabu chenye title: Kanisa katoliki na Siasa ya Tanzania Bara 1953 hadi 1985 kilichotungwa na Dr. John C. Sivalom M. M., 1992 - Peramiho
 
Kwa faida yenu someni kitabu: Kanisa Katoliki na Siasa ya Tanzania Bara 1953 hadi 1985. Kilichoandikwa na Dr. John C. Sivalon M. M. Huko Ndanda Peramisho. Ndio muanze kujadili. Kipengele cha DINI ni muhimu kwani kama tatizo ni udini kilichofanya kipengele hicho kikaondolewa ndio huohuo udini - COBA walikiondoa ili wapate kuwafirigisa waislam vizuri. Hata njie waasi hamko salama, manajifaragua tu bila kujua.
 
  1. Kwa nini kipengele cha sensa kiliondolewa?
Inasadikika kuwa sensa ya mwisho kufanyika wakati waukoloni Tanzania ilikuwa na Waislamu asilimia 60, Tukisema kuwa serikaliilikiondoa kipengele hiki kwa sababu maalumu ikiwemo kuwa na nafasi yakuendeleza na kusadikisha takwimu za uongo ili kushamirisha Mfumo Kristo (MK)Tanzania tunakosea?

  1. Kwa nini taasisi mbalimbali za serikali na binafsi zimekua zikitoa takwimu za watu na dini zao?
Mfano0fisi ya waziri mkuu inadai wakristo ni 45%-waislamu 35%. TBC1, imetangazawakristo ni 52%-waislamu 32%.Bodi ya watalii -Christianity and Islam are the predominantreligions of Tanzania. About 40-45% of the population practice Christianity,about 35-40% practice Islam.,Tovuti kikatoliki (RCNet) waislamu 34%- na wakristo ni 44%
Na hapa kuna hoja mbili,
a) kwa nini takwimu zinatofautiana? na b)kwa nini pamoja na kutofautiana zotezinaonesha wakristo ni wengi kuliko waislamu?
Kwa kawaida jambo la uongo lazima hukwama, takwimuzinatofautiana kwa sababu ni za uongo, Zote zinaonesha wakristo ni wengi kwa sababu za kukidhimatakwa ya MK.
Mkurugenzi wa TBC alipoulizwa kuhusu takwimu katoa wapi aliishia kuomba radhi, kakosea,swali ni je kakosea nini? Amekuwa akikosea mambo mangapi ya kitaifa kwa ujumlawake kama lilivyo hili? Huu ndio MK
3.Kwa nini kiwepo kipengele cha kuhesabiwa kwa nyumba zaibada?
Waislamu wakisema kuwa kuhesabiwa kwa nyumba za ibadapekee kunaweza kutumiwa na wapotoshoshaji wa Umma kupitia MK, kuwa Wkristo niwengi kwani siku hizi kuna utitiri wa madhehebu kikristo na makanisa binafsihata kama yana waumini wachache achilia mbali uyoga wa makanisa yanojiita ya wokovu?Kwa nini nyumba za ibada na sio na wanaoabudu humo?, Serikali inataka kugawamisala misikitini na mabench kanisani?
Waislamu wa leo ni tofauti na wa enzi hizo, wanajuawanachokifanya na hili la sensa ni moja na mengine yatakuja,hatuhitajikumtafuta kiongozi wala Sheikn Ponda kwahili, elimu tulishapata , macho yalishafumbuliwa na Tunaelewa athari za mfumoKristo katika jamii

  1. Tulisadikishwa kuwa waislam hawakusoma, kumbe data zinaonesha NECTA inawapunguza
  2. Tukasadikishwa kwamba hawajengi Mashule na Hospitali ila wanajenga misikiti, kumbe wenzetu wanajenga kupitia fedha wanazopewa na serikali hii hii kupitia MoU
  3. Tukasadikishwa kuwa nchi hii haina dini , kumbe serikali yetu ina mfumo Kristo ambao haukuandikwa popote lakini unafanya kazi zake kwa siri na waziwazi
TUMEKATAAKWENDA KWA MATAKWA YA MK, NARUDIA WAISLAMU HATUHESABIWI.
 
Ndiyo maana tulisema hii kazi ingefanywa na walimu.Watu wenye ethics zao.

Hiyo inahusiana nini na hii mada?

Sijui ndio umeamka. Hebu soma mada acha kunichefua. Kama wewe ni mwalimu pole, sio kosa letu.

Ethics za walimu ni zipi, kuwapa mimba watoto wa kike? Hakuna sifa nzuri ya pamoja bana
 
  1. Kwa nini kipengele cha sensa kiliondolewa?
Inasadikika kuwa sensa ya mwisho kufanyika wakati waukoloni Tanzania ilikuwa na Waislamu asilimia 60, Tukisema kuwa serikaliilikiondoa kipengele hiki kwa sababu maalumu ikiwemo kuwa na nafasi yakuendeleza na kusadikisha takwimu za uongo ili kushamirisha Mfumo Kristo (MK)Tanzania tunakosea?

  1. Kwa nini taasisi mbalimbali za serikali na binafsi zimekua zikitoa takwimu za watu na dini zao?
Mfano0fisi ya waziri mkuu inadai wakristo ni 45%-waislamu 35%. TBC1, imetangazawakristo ni 52%-waislamu 32%.Bodi ya watalii -Christianity and Islam are the predominantreligions of Tanzania. About 40-45% of the population practice Christianity,about 35-40% practice Islam.,Tovuti kikatoliki (RCNet) waislamu 34%- na wakristo ni 44%
Na hapa kuna hoja mbili,
a) kwa nini takwimu zinatofautiana? na b)kwa nini pamoja na kutofautiana zotezinaonesha wakristo ni wengi kuliko waislamu?
Kwa kawaida jambo la uongo lazima hukwama, takwimuzinatofautiana kwa sababu ni za uongo, Zote zinaonesha wakristo ni wengi kwa sababu za kukidhimatakwa ya MK.
Mkurugenzi wa TBC alipoulizwa kuhusu takwimu katoa wapi aliishia kuomba radhi, kakosea,swali ni je kakosea nini? Amekuwa akikosea mambo mangapi ya kitaifa kwa ujumlawake kama lilivyo hili? Huu ndio MK
3.Kwa nini kiwepo kipengele cha kuhesabiwa kwa nyumba zaibada?
Waislamu wakisema kuwa kuhesabiwa kwa nyumba za ibadapekee kunaweza kutumiwa na wapotoshoshaji wa Umma kupitia MK, kuwa Wkristo niwengi kwani siku hizi kuna utitiri wa madhehebu kikristo na makanisa binafsihata kama yana waumini wachache achilia mbali uyoga wa makanisa yanojiita ya wokovu?Kwa nini nyumba za ibada na sio na wanaoabudu humo?, Serikali inataka kugawamisala misikitini na mabench kanisani?
Waislamu wa leo ni tofauti na wa enzi hizo, wanajuawanachokifanya na hili la sensa ni moja na mengine yatakuja,hatuhitajikumtafuta kiongozi wala Sheikn Ponda kwahili, elimu tulishapata , macho yalishafumbuliwa na Tunaelewa athari za mfumoKristo katika jamii

  1. Tulisadikishwa kuwa waislam hawakusoma, kumbe data zinaonesha NECTA inawapunguza
  2. Tukasadikishwa kwamba hawajengi Mashule na Hospitali ila wanajenga misikiti, kumbe wenzetu wanajenga kupitia fedha wanazopewa na serikali hii hii kupitia MoU
  3. Tukasadikishwa kuwa nchi hii haina dini , kumbe serikali yetu ina mfumo Kristo ambao haukuandikwa popote lakini unafanya kazi zake kwa siri na waziwazi
TUMEKATAAKWENDA KWA MATAKWA YA MK, NARUDIA WAISLAMU HATUHESABIWI.

Ndio, BUgando, KCMC, TEULE na nyinginezo zilijengwa na fedha za MoU iliyosainiwa 1992 (kweli akili ni nywele kila mtu ana zake)

Takwimu na wewe si utoe za kwako, shida ipo wapi. Na wewe nenda Radio imanu morogoro tangaza kuwa waislamu ni 78% ya wanadamu wote duniani.

Hapo kwenye RED ndio kunadhihirisha mwiisho wa fikra zako. Kama unajua serikali haina nia ya kugawa misala na mabenchi kwa hivyo haina haja ya kuhesabu makanisa na misikiti, mbona usijue kuwa serikali hiyo hiyo haina nia ya kugawa tasbih na rozari kwa hiyo haina haja ya kuwahesabu wakristo na waislamu?

Hayo maneno ya kutohesabiwa ni ya mdomoni tu, wewe toa taarifa za uongo au kataa kuhesabiwa, nafikiri ndio wakati huyo Ponda atakupa hifadhi kwao burundi sijui rwanda, mtajua wewe na yeye mpakani, Period!
 
Ni vizuri ukazingatia. Asifuye Mvua imemnyea. Nakushauri ujitume kusoma ujue nchi yako vizuri kwa kuanzia soma kitabu chenye title: Kanisa katoliki na Siasa ya Tanzania Bara 1953 hadi 1985 kilichotungwa na Dr. John C. Sivalom M. M., 1992 - Peramiho

Kinasemaje hicho kitabu, tuchague watu wa sensa kwa dini bila kuzingatia uwezo wao wa kutimiza majukumu?
 
Ndio, BUGANDO, KCMC, TEULE na nyinginezo zilijengwa na fedha za MoU iliyosainiwa 1992 (kweli akili ni nywele kila mtu ana zake)

Takwimu na wewe si utoe za kwako, shida ipo wapi. Na wewe nenda Radio imanu morogoro tangaza kuwa waislamu ni 78% ya wanadamu wote duniani.

Hapo kwenye RED ndio kunadhihirisha mwiisho wa KUJUA kwako. Kama ulikuwa hujui karibu seminari zote zilizopo hapa nchini zilijengwa kwa kodi za babu zetu wakati wa ukoloni. Walimu wake waliajiriwa na kulipwa kwa kodi za wananchi wote.

Bado kitambo kidogo ukweli utadhihiri na uongo utajitenga.
 
Back
Top Bottom