Wakala wa huduma za ajira (TaESA)

Ni kweli kuna TAESA lakini HAKIKA ukiwauliza mpaka sasa wamewataftia watu wangapi kazi utalia manake jumla yake hawafiki hata 20 toka ianzishwe! I have evidence. na kama ni ofisi ya kuifuta basi ya kwanza ni TAESA. Sereikali nayo inatumix mara TAESA mara SEKRETARIATI YA AJIRA mara TUME YA UTUMISHI zote hewa bora hata RADDAR RECRUITMENT. Niambieni zile nafasi za kazi za BUNGENI NA ZA NIDA zmeyeyukia wapi?
 
Umesema ukweli sidhani kama TAESA ina kazi tena hasa baada ya mchakato wa ajira za serikali kuhamishiwa kwa Sekretarieti ya Ajira na Utumishi wa Umma.Nilipeleka CV yangu tangu mwaka jana pale hata sijawahi kuitwa
 
Mkuu signature yako nimeikubali naomba ui-bold na kuipa color ili watu wengi waione.teh teh teh
 
Ni kweli kuna TAESA lakini HAKIKA ukiwauliza mpaka sasa wamewataftia watu wangapi kazi utalia manake jumla yake hawafiki hata 20 toka ianzishwe! I have evidence. na kama ni ofisi ya kuifuta basi ya kwanza ni TAESA. Sereikali nayo inatumix mara TAESA mara SEKRETARIATI YA AJIRA mara TUME YA UTUMISHI zote hewa bora hata RADDAR RECRUITMENT. Niambieni zile nafasi za kazi za BUNGENI NA ZA NIDA zmeyeyukia wapi?

Acha hasira mkuu.Hao RADAR si wanahitaji malipo? Ninavyofahamu sekretarieti ya utumishi wa umma hawahusiki na ajira za private sector so sidhani kama wanafanya kazi hiyohiyo ya TAESA.
 
Jamani kuna kitu kinaitwa taesa,mimi zamani nilikuwa siwaamini naona ni siasa tu za serikali,lakini nimejiandikisha pale jamaa wamenitafutia kazi. tena nzuri sana. tuchangamke si unajua tena kujaribu sehemu yoyote. nime struggle miaka 3 mtaani. j3 ndio naanza kazi.
 
Taesa nilipelekaga cv yangu ikapita muda...lakini siku moja wakanipigia simu kuwa nahitajika Nbc bank ila sema nilishakuwa nimepata kazi
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom