Wakala agoma ku-sign | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wakala agoma ku-sign

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by pirate, Nov 1, 2010.

 1. pirate

  pirate JF-Expert Member

  #1
  Nov 1, 2010
  Joined: Oct 8, 2010
  Messages: 366
  Likes Received: 111
  Trophy Points: 60
  kuna mda nilkuwa nikipita mitaa ya stendi nikasikia kelele kama mtu analazmishwa kufanya kitu flani hiv.., sema nikaamua kuachana navyo wala ckutilia maanan hata kidogo...,

  ilipofika jion nikaenda katika kile kituo kuangalia matokeo kama wameshayabandka tayar ndipo rafiki yangu akanambia kuwa wakala wawa dada yetu mama mbega aligoma kusaign baada ya kuonekana amepata kula 2 ckuamin kama kweli huyu mtu kapata kura mbili.., cha pili pia nirifurahi sana kuona gepu aliloachwa na kaka yetu msigwa ambaye alikuwa na kura 180..,haya tuendelee.., basi yule wakala baada ya kuona matokeo ya mtu wake yako vile aaahaa.., c akaamua aache ata kusaign lakini wenzake wakamwambia asign tu kwan mbina yeye hausiki na chochote.., yeye akaendelea kugoma ..ndipo wakaj wazee wenyewe wa kaz FFU lakin bado jamaa akajidai mbishi.., akapigwa kibao kimoja tu yani fasta akasaign..

  ni hayo tu wadau  slaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa one way ikuuuuuuuuuuuuuuuuuulllllllluuuuuuuuuuuuu:israel:
   
 2. Dark City

  Dark City JF-Expert Member

  #2
  Nov 1, 2010
  Joined: Oct 18, 2008
  Messages: 16,277
  Likes Received: 241
  Trophy Points: 160
  Hapo umenivunja mbavu mkuu...Hivi mtu hadi avunjiwe heshima ndo anasaini? Kwani huyo Monica Mbega ni nani yake?
   
 3. M

  Mnyitono 2 Member

  #3
  Nov 1, 2010
  Joined: Oct 29, 2010
  Messages: 16
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Haaa? Kusaign tu anagoma! Na kwa taarifa yake Msigwa lazima aingie Mjengoni.
   
 4. mnyikungu

  mnyikungu JF-Expert Member

  #4
  Nov 1, 2010
  Joined: Jul 26, 2009
  Messages: 1,441
  Likes Received: 581
  Trophy Points: 280
  loabda shangazi yake?
   
 5. O

  Obama08 Senior Member

  #5
  Nov 1, 2010
  Joined: Sep 17, 2010
  Messages: 182
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mkuu Pirate yaani umenimaliza, kibao moja tu kasign leo nitacheka huku nashangaa maajabu ya CHADEMA
   
 6. Emma Lukosi

  Emma Lukosi Verified User

  #6
  Nov 1, 2010
  Joined: Jul 22, 2009
  Messages: 932
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  Meno hayajadondoka?!
   
 7. Dark City

  Dark City JF-Expert Member

  #7
  Nov 1, 2010
  Joined: Oct 18, 2008
  Messages: 16,277
  Likes Received: 241
  Trophy Points: 160
  Hata kama...Kwani huyo shangazi yake akifa leo naye anajinyonga..Labda kwa vile ni Mnyalu!
   
 8. JOYCE PAUL

  JOYCE PAUL JF-Expert Member

  #8
  Nov 1, 2010
  Joined: Jan 8, 2010
  Messages: 1,007
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135


  hapo usahauu babanguu aiseee
   
Loading...