Je ni sahihi kwa watu kumzonga na kumzomea mwanamke kwa mavazi yake

Huyo dada kavunja sheria gani ya nchi?

Alichofanyiwa ni kitendo cha udhalilishaji na kilipaswa kukemewa.
 
merytina! Is this right for you? would you do the same? Huko Arusha unavaa hivyo? This leaves a lot to be desired.........
 
Wadada!tutaendelea kudhalilishwa mpaka lini?
Mbona wakaka wanataka kutunyima uhuru wa kuvaa tutakavyo.

Qn:Vipi hii ikukutokea wewe shosti? au mkaka vipi uko na demu wako ikamtokea hii






IRINGA STENDI YA MKOA​


Sipati imagination angepita Somalia chini ya udhibiti wa Al shabab, sasa hivi comment zingekuwa RIP.
 
pilipili usiyoila yakuwashia nini?
mtu si mama/dada/demu wako kwa nini usimpotezeeee?

na ukishampotezea?

kwanza hiyo adha yote ya nini lakini? hapo yeye mwenyewe angekuwa na jeuri asingekubali hata kupewa hicho kitenge ajisitiri. sasa kama alivaa hivo na kumbe hata uwezo wa kuhimili hayo hana ina maana gani basi.
 
na ukishampotezea?

kwanza hiyo adha yote ya nini lakini? hapo yeye mwenyewe angekuwa na jeuri asingekubali hata kupewa hicho kitenge ajisitiri. sasa kama alivaa hivo na kumbe hata uwezo wa kuhimili hayo hana ina maana gani basi.


Kwa nini alazimike kuwa na uwezo wa kuhimili? Kwani kuna sheria inayomlazimisha mtu namna ya kuvaa?
 
umesema vizuri aisee...unamuogopa honey wako kisha nyuma ya mgongo wake ndo unafanya asoyapenda? huo si ni unafiki Mertyna?
hamna mtu asiye na mapungufu?
my honey is 90 % copy of brain/wishes/mind ila vitu kama nguo haviwezi kuniharibia so ntajitahidi nisimwake kwa uvaaji
 
hako kadada kasikushangaze nako ndio tabia zake hapo kalikua kanatoka shule mwembe togwa sec school.ndio maana kalivaa vile vinginevo nako kangekua kwenye mavazi yafananayo ya huyo dada
 
Kwa hiyo unapenda kuvaa vingue vya kiuchokozi ukiwa mbali na watu wanaokufahamu. Arusha baba atakuona so unajiachia ukiwa mitaa ya mbali. Ukija Dar natamani ningekuona unavyojiachia:dance:
 
Jamani kila mtu yuko responsible kwa actions zake mwenyewe. This is a free world! Acheni kila mtu avae anavyotaka, si atakiona cha moto mwenyewe???!!!Tunapoteza nguvu nyingi kubishana hapa bure.......
 
kweli labda ni vema kuangalia tuna vaa nini na wapi..

lakini hapa kwetu kuna unafiki
sana wa sitaki na taka...
huo ndio ulijaa manake haiwezekani kila mdada anasema hivi sivai wakat mtaani wapo ina maana JF wadada ni spicies tofauti??
mimi navaaga sana tu ila sio ARUSHA
 
merytina! Is this right for you? would you do the same? Huko Arusha unavaa hivyo? This leaves a lot to be desired.........

Hapa si suala la mtu yeye binafsi anavaa nini. Ni suala la haki za binaadamu. Ana haki huyo bibie kuvaa akipendacho wakati wowote aupendao
 
Tena huyu anabahati sana angepite mitaa ya kwetu angebakwa kabisa!!
wewe ni pumbafu kabisa mkimbaka mdada kama huyu nitatumia pesa yangu yote kumtetea hadi upigwe jela maisha yako yote. hii ni pumbafu kabisa, njaa zako huko huko nyumbani kwenu
 
Uhuru wa Mwanamke si kujiweka uchi au nusu uchi.

“O children of Adam! Surely we have bestowed upon you a garment to cover your shame, as well as to be an adornment to you, and the garment of piety is the best.” (al-A’raf, 26)

Qur'an: Enyi wanaadamu! Tumekuteremshieni nguo za kuficha tupu zenu, na nguo za pambo. Na nguo za uchamngu ndio bora. Hayo ni katika Ishara za Mwenyezi Mungu mpate kukumbuka.

[FONT=Arial, Helvetica]Bible: I also want women to dress modestly, with decency and propriety, not with braided hair or gold or pearls or expensive clothes, but with good deeds, appropriate for women who profess to worship God.[/FONT][FONT=Arial, Helvetica] (NIV, 1 Timothy 2:9-10)[/FONT]

mwangalieni huyu naye, nenda kaishi somali na al-shabiib basi
 
Back
Top Bottom