Je ni sahihi kwa watu kumzonga na kumzomea mwanamke kwa mavazi yake

Hata uchi tembeeni tu si wala hatuwaingilii. Ndo mambo ya kwenda na wakati bwana, kwanza mimi nashangaa kwa nini bado mnavaa nguo? kwa nini msitembee uchi tu? mbona mko huru na mpkipewa nafasi mnaweza hata kutembea uchi mnaweza..

Wadada!tutaendelea kudhalilishwa mpaka lini?
Mbona wakaka wanataka kutunyima uhuru wa kuvaa tutakavyo.

Qn:Vipi hii ikukutokea wewe shosti? au mkaka vipi uko na demu wako ikamtokea hii ?

Nani aliyetoa vipimo vya nguo fupi?serikali au ukame+ukata wa wavaa vitisheti vya ccm?inaanzia wapi?isoneshe kinii?
Nguo fupi relative kwa nguo ipi?

IRINGA STENDI YA MKOA​

au mnataka tuvae hivi ili muridhikeeeeeeeeeeeee​
 
Ama kweli mnakoenda akina dada sio kabisa kama hata kuvaa vichupi barabarani mnaona poa na mnadai tuwape haki zenu ni hatari
do a right thing, at a right place and at a right time. kila nguo na sehemu yake ya kuvaliwa na tutaendelea kuwaandama mpaka mkome
 
tuishi kama jamii ilivyo jamani!

Mambo mengine ni kujitaftia taabu tuuu,

Wadhungu wanasema ukiwa kwa warumi ufanye kama warumi aka uishi kama wanavyoishi!

Otherwise itakusumbua saaana
 
Vile vile kuna tofauti kubwa ya mvuto wa rangi ya ngozi kati ya watu weupe (wazungu) na watu weusi. Mara nyingi wazungu hawavutii hata kama wamevaa vikaptula vifupi mno. Pia wanaume waafrika hawajozea sana kuona wanawake wa kiafrika sehemu kubwa ya miili yao hasa sehemu nyeti zikiwa wazi na hivyo hupata tabu wanapokutana na wanawake walovaa ndivyo sivyo. Kwahiyo kwa upande mwingine na wanaume pia wanakuwa wanajiona hawako huru.
 
Kumbe haya hayapo Kariakoo tuu eh? cc Nyani Ngabu.

Hii mada ilikupita wapi aisee?

Matukio kama haya hayana tofauti yoyote ile ya kimsingi na yale matukio ya kupiga watu hadi kufa kwa tuhuma za wizi au kama yule jamaa wa juzi juzi pale Mbezi aliyedaiwa eti ni mchawi kadondoka na ungo na kupigwa hadi kufa tena mchana kweupe na hadharani kabisa ilhali mtu mwenyewe ukimwangalia unaona kabisa alikuwa na matatizo ya akili.
 
Wadada!tutaendelea kudhalilishwa mpaka lini?
Mbona wakaka wanataka kutunyima uhuru wa kuvaa tutakavyo.

Qn:Vipi hii ikukutokea wewe shosti? au mkaka vipi uko na demu wako ikamtokea hii ?

Nani aliyetoa vipimo vya nguo fupi?serikali au ukame+ukata wa wavaa vitisheti vya ccm?inaanzia wapi?isoneshe kinii?
Nguo fupi relative kwa nguo ipi?

IRINGA STENDI YA MKOA​

au mnataka tuvae hivi ili muridhikeeeeeeeeeeeee​
Mbona wale wadada wanaokuwa karibu na hospitali ya Aghakhan usiku wa kuanzia saa nne hakuna anayewadharirisha?
shida inakuja pale unapovaa nguo hizo na ukataka kuvinjali mitaa ya k'koo mchana kweupe.
Hata bundi akionekana mchana,ndege wengine humshambulia.
Hata hivyo nadhani mnadhibitiwa kwa misingi sawa na ile ya maandamano yanavyodhibitiwa kwa taarifa za kiintelijensia.Unaweza sababisha foleni za magari ikawa kero,hivyo ni bora kufanya hivyo.
 
Anabahati kwanza huu upumbavu kafanyia huko kwa wanyalu, angekuwa huku Arusha kwa mamong'o angejuta.
 
Wadada!tutaendelea kudhalilishwa mpaka lini?
Mbona wakaka wanataka kutunyima uhuru wa kuvaa tutakavyo.

Qn:Vipi hii ikukutokea wewe shosti? au mkaka vipi uko na demu wako ikamtokea hii ?

Nani aliyetoa vipimo vya nguo fupi?serikali au ukame+ukata wa wavaa vitisheti vya ccm?inaanzia wapi?isoneshe kinii?
Nguo fupi relative kwa nguo ipi?

IRINGA STENDI YA MKOA​

au mnataka tuvae hivi ili muridhikeeeeeeeeeeeee​

Acha kutetea upimbi kama huu, shame on you
 
Wadada!tutaendelea kudhalilishwa mpaka lini?
Mbona wakaka wanataka kutunyima uhuru wa kuvaa tutakavyo.

Qn:Vipi hii ikukutokea wewe shosti? au mkaka vipi uko na demu wako ikamtokea hii ?

Nani aliyetoa vipimo vya nguo fupi?serikali au ukame+ukata wa wavaa vitisheti vya ccm?inaanzia wapi?isoneshe kinii?
Nguo fupi relative kwa nguo ipi?

IRINGA STENDI YA MKOA

au mnataka tuvae hivi ili muridhikeeeeeeeeeeeee​

<HEADER id=post-heading> [h=1]Wakamatwa kwa kumvua nguo mwanamke Kenya[/h]
<!-- /meta --></HEADER><!-- /page-heading --><ARTICLE class="entry clearfix">Polisi mjini Nairobi wamewakamata watu 100 katika msako baada ya mwanamke mwingine kuvuliwa nguo katika mtaa wa mabanda wa Kayole mjini Nairobi.
kenya-woman_standard_600x400.jpg

Back
Top Bottom