Wakaka ambao bado hatujaoa njooni tukubaliane kitu

ndege JOHN

JF-Expert Member
Aug 5, 2015
19,554
44,725
Mambo niaje
Niende moja kwa moja kwenye maada nikianza kwa kueleza masikitiko yangu kuhusiana na Hawa wanawake zetu.tumeshashuhudia jinsi baba zetu na Babu zetu na baadhi ya member wa humu jf wakitoa malalamiko walivyopita katika maisha ya ndoa kiukweli inatesa Sana wanawake wa kileo ndio kasheshe zaidi yaani kugongewa kupo Kama kote vile.nimeshuhudia kabisa ndoa mbili ambazo ni za ndugu zangu jinsi wake zao walivyokuwa waki cheat nje Tena na dharau juu.mtu kaolewa na boss mkubwa lakini Anakwenda kugawa penzi nje Tena kwa dereva bajaji.dah inauma sana.
Sasa Mimi nimewaita hapa jf ili tujue tunafanyaje maana huko tunaopelekea tutakuja kuoa magarasa halafu tuje kupata Moto ndani ya ndoa tufe mapema na ma stress.tufanyaje Sasa maana me sielewi siwaamini kabisa Hawa kina dada.wasiwasi wa kufanyiwa vituko,madharau ni mkubwa sana.tukiwauliza walio kwenye ndoa wanasema kila mmoja apambane na Hali yake.inahitaji uvumilivu unajua.nyie mnasemaje vijana wenzangu tuachane na habari za kuoa au Kila mmoja afe na tai yake shingoni?
 
makubaliano ya hiki kijiwe ni kutafuta hela tu. na kuwa na familia ya watoto kazaa bila kuoa..

wazo hili ni la mwenyekiti ruge mutahaba..

hawa viumbe ukiwa na pesa huwa hawakatai.. hata kama wanajua wewe ni mtu wa kuzalisha tu sio muoaji..

blaza ruge hadi leo akitongoza totoz zinakubali...

ila hata ukiwa na ugentleman, una heshima ila pesa huna.. bado watakudharau tu..

wajanja wameshawajua.. so ni kusaka mahela tu na kuzaa nao tu...

ndoa ni stress tu kwa zama hizi
 
makubaliano ni kutafuta hela tu. na kuwa na familia ya watoto kazaa bila kuoa..

wazo hili ni la mwenyekiti ruge mutahaba..

hawa viumbe ukiwa na pesa huwa hawakatai.. hata kama wanajua wewe ni mtu wa kuzalisha tu sio muoaji..

blaza ruge hadi leo akitongoza totoz zinakubali...

ila ukiwa na gentleman, una heshima ila pesa huna.. bado watakudharau tu..

wajanja wameshawajua.. so ni kusaka mahela tu na kuzaa nao tu...

ndoa ni stress tu kwa zama hizi
Asante Sana mkuu nimekuelewa kumbe pesa ndio jibu la mambo yote.ukiwa na watoto wako watatu na una uwezo unawasomesha shule nzuri hakuna haja ya kuanza kuoa na kuishi na mtu ujifie mapema
 
Asante Sana mkuu nimekuelewa kumbe pesa ndio jibu la mambo yote.ukiwa na watoto wako watatu na una uwezo unawasomesha shule nzuri hakuna haja ya kuanza kuoa na kuishi na mtu ujifie mapema
Jifarijini tu mmalize sabuni madukani,tena sisi tuwe wauza maduka,ukija unataka kipande tukupa mche.
 
Oa mwanamke usiyempenda sana,ndoa itadumu sana.........vijana wengi Wa kiume wanakosea kuoa mwanamke ambae umemlazimisha sana na kushawishi kwingi eti ndo akubal kuwa na wewe na mpaka wengne wanapewa mashariti ya kuwa eti mpaka tukioana ndo anakupa papuchi na wewe unakubali,mke kama huyu hamuwez dumu,ova
 
Mimi nitaoa kwa ajili ya kufuliwa na kupikiwa tambi tu. Akiamua kugawa agaweee mi sina neno, kikubwa afue na nikitaka tambi apike.
Umetisha mzee mjumbe....expect less and your life shall be longer kwa kweli
 
Back
Top Bottom