Wakaguzi wa fedha tembelea ni Kigonsera sekondari

Mzalendo wa kusini

New Member
Jun 10, 2013
2
0
Kigonsera sekondari, nishule kongwe ambayo waheshimiwa wengi wamesoma kama :-rais mstaafu B.W.Mkapa, Naibu waziri Tamisemi kasim majariwa. na wengine kibao. masikitiko yangu ni jinsi shule inavyoendeshwa kwa ufujaji mkubwa wa pesa za serikali unao fanywa na Mkuu wa shule pamoja na Mtunza stoo wa shule. Shule inaangamia jamani tizameni caigo
 
Najua kuwa Wakuu wa Shule za Sekondari zilizokuwapo kabla ya hizi za Kata, wanapiga panga sana hela za serikali.

Mkuu, funguka kidogo kwa ziada ukijibu maswali yafuatayo:
1. Wakina nani hao (kwa majina)?
2. Wanafanya nini? (udhalimu wao ulivyo)
3. Wanashirikiana na wakina nani?

Ni maswali ya 'ki-MIKINGAMO'.
 
Aisee poleni ingawa hamna ushahidi

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Mdogo wangu, nchi ishauzwa kitambo ... kichwa hapo alikua Mr.Shillimoh na ndo alkua anawachapa hadi vibao hao wakina Ngunguru!!!Binafs nlshapoteza imani na watawala hawa, namuomba MUNGU tu 2015 awaadhibu wote ...
 
Kigonsera sekondari, nishule kongwe ambayo waheshimiwa wengi wamesoma kama :-rais mstaafu B.W.Mkapa, Naibu waziri Tamisemi kasim majariwa. na wengine kibao. masikitiko yangu ni jinsi shule inavyoendeshwa kwa ufujaji mkubwa wa pesa za serikali unao fanywa na Mkuu wa shule pamoja na Mtunza stoo wa shule. Shule inaangamia jamani tizameni caigo

pesa gani waliyoiba?
 
Back
Top Bottom