Wakaazi wa Iringa hatujui matumizi ya vivuko vya watembea kwa miguu. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wakaazi wa Iringa hatujui matumizi ya vivuko vya watembea kwa miguu.

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Calist, Jun 14, 2011.

 1. C

  Calist Senior Member

  #1
  Jun 14, 2011
  Joined: Dec 17, 2010
  Messages: 131
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Bila shaka madreva wa Iringa na wengine mliowahi kupita tu mjini hapa mtakubaliana na mimi kuwa watembea kwa miguu tunavitumia vibaya vivuko vyetu, utakuta wa wanapita taratiibu wengine hadi wanaanza kusalimiana katikati ya zebra. Watu wa usalama barabarani jaribu kutuelimisha vinginevyo kutatokea watu kugongwa na madreva wasiokuwa na subira..
   
 2. m

  muhanga JF-Expert Member

  #2
  Jun 14, 2011
  Joined: Apr 16, 2009
  Messages: 873
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  mahusiano mapenzi na urafiki..... hii forum kumbe ina mchanganyiko wa mambo, binafsi sioni uhusiano wa mada hii na forum hii!!!!
   
 3. C

  Calist Senior Member

  #3
  Jun 14, 2011
  Joined: Dec 17, 2010
  Messages: 131
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Sijakupata vizuri ulitaka kumaanisha nini !
   
 4. Gagurito

  Gagurito JF-Expert Member

  #4
  Jun 14, 2011
  Joined: Feb 11, 2011
  Messages: 5,610
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 135
  Iringa mnajua kula nyama za mbwa. teh! wahehe, wanyalukolo stil primitives!
   
 5. C

  Calist Senior Member

  #5
  Jun 14, 2011
  Joined: Dec 17, 2010
  Messages: 131
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Tumekusamehe bure.
   
 6. Gagurito

  Gagurito JF-Expert Member

  #6
  Jun 14, 2011
  Joined: Feb 11, 2011
  Messages: 5,610
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 135
  Kwan hamli mbwa nyie? Alafu mnasifika pia kwa kujinyoonga!
   
 7. C

  Calist Senior Member

  #7
  Jun 14, 2011
  Joined: Dec 17, 2010
  Messages: 131
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Asante kwa mchango wako.
   
 8. Gagurito

  Gagurito JF-Expert Member

  #8
  Jun 14, 2011
  Joined: Feb 11, 2011
  Messages: 5,610
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 135
  Ucjal mkuu, napafahamu sana iringa those were jokes. LETS GO BACK TO THE TOPIC.
   
Loading...