Its Pancho
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 14,175
- 22,565
Hii window 7 kwenye PC hapa inagoma ku-start yaani ikifika pale kwenye logo inazima. Shida nini hapo? Nimejarbu njia nyingi imegoma.
Hata skumbuk mkuu ila processed no core i2Mashine yako ina RAM ya ngapi?
Nile mwongozo kidogoFanya disk repair?
Kama umefanya backups ya data zako hapana mbaya au kama hauna haja nazo, kuna scenario mbili kubwa na windows kubwa za windows ku failJe itakuwaj kama hapo nkipiga window nyingine wakuu
Ilikuwa saws pale unapowasha kuna sehemu wameandika launch window repair kuna dogo albonyeza hapo badala ya chini yake start window regular. Ndo shida ikawa hiviKama umefanya backups ya data zako hapana mbaya au kama hauna haja nazo, kuna scenario mbili kubwa na windows kubwa za windows ku fail
Hardware, kama hdd inakaribia kufa au hata kama ukiweka windows upya hiyo kitu itajirudia ndani ya mda mfupi itarudia. Au wkt mwingine kama kuna hardware mpya imekuwa installed.
Software, kama shida ni hii fanya windows upya itakaa sawa.
Nashkuru mkuu window IPI itafaa??Shusha window mpyA mzee
Acha nijaribu mkuu ntaleta mrejeshojaribu kuboot safe mode,
washa pc kisha shikilia f8 ama bonyeza mara nyingiii f8 mpaka itokeee menu inayokuuliza namna unavyotaka kuboot windows
chagua safe mode,
kama itakubali windows na hio safe mode ukiwa ndani unaweza jaribu haya
1. kurestore pc hadi tarehe ambayo ilikuwa inafanya kazi vizuri
2. kutumia ant virus kama malware bytes na kuscan pc yote.
then zima pc na jaribu kuwasha tena kawaida
Nashkuru mkuu
Kwa sasa Microsoft wanasitisha software updates kwa Windows 7,wanashauri watu watumie windows 10, au angalau windows 8.Hii window 7 kwenye PC hapa inagoma ku-start yaani ikifika pale kwenye logo inazima. Shida nini hapo? Nimejarbu njia nyingi imegoma
Sasa window 7 so inaweza kuwa na bit nyingi mkuuInstall Windows 10 Kwa sasa Microsoft wanasitisha software updates kwa Windows 7,wanashauri watu watumie windows 10, au angalau windows 8.
Sawa mkuuHiyo 7 siishafungiwa teyari wala usijiangaishe nayo piga nyingine.
Weka windows 10 mkuu hiyo window 7 ipo out of date, nahisi wamesha ishutdownHii window 7 kwenye PC hapa inagoma ku-start yaani ikifika pale kwenye logo inazima. Shida nini hapo? Nimejarbu njia nyingi imegoma.