Wajuzi wa Suzuki Swift Old Model naombeni ufafanuzi

Ugangaaa

JF-Expert Member
Nov 5, 2017
370
553
Wadau habari ya Majukum? Naombeni ufafanuzi juu ya gari hii ya Suzuki swift Old Model, fuel consumption, matengenezo (spair) ipi gharama kuitunza katiya Swift, au vits old model?

1591337191412.png
 
Chukua vitz old au Rs pia sawa model injini ya 1.3L. usichukue injini za 990cc
 
We unataka kulinganisha Suzuki na Toyota? Kwenye Suzuki utapata spare kwa bei ghari lkn unakuwa na uhakika wa kukaa na hiyo spare sio kama Suzuki. Ukikaa na Suzuki huwezi kujuta. Hata bei zake zimechangamka siyo kama Toyota
 
Mkuu unashauri Suzuki ndiyo mkataba siyo? Vp gharama ya swift old model mpk unaipata mkononi kutoka nje au yard?
 
RS iko vizuri sana kwa muonekano,ila nadhani engine yake ina cc kubwa kidogo kuliko Vitz ya kawaida...
 
Mi naona gari ikiwa na engine ndogo sana na life span yake inakuwa ndogo pia. Usikimbilie magari madogo sana ukitegemea utakao nalo sana
 
Suzuki swift old model ni nzuri sana inatumia vizur mafuta. Kuna ndugu yangu anayo anatumia wastani wa lita 3.5 kwa kilometa 50.
Spare zake ni ghali lakini zinakaa muda mrefu.

Ina space ya kutosha kuweka mizigo na abiri anakaa vizuri siti za mbele na za nyuma.

All the best
 
Ahsnte sana kiongozi. Vp khs manunuzi katiya Suzuki Swift old model na Raum zinatofautiana sana? Used Abroad
 
Yaani hizo gari unazozitafuta ndo gari nizozpenda sana kulingana na kipato changu. Nami natamani kujua ubora ,utumiaji wa mafuta na bei zake
 
Ahsnte sana kiongozi. Vp khs manunuzi katiya Suzuki Swift old model na Raum zinatofautiana sana? Used Abroad
Huyu jamaa alinunua miaka 10 iliyopita kwa milion 7 hadi kuichukua Dar.
Kwa sasa gharama ziko tofauti kidogo ila inaweza kuwa around 9.5+ kwa kuagiza kutegemea na specifications.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom