Chukua vitz old au Rs pia sawa model injini ya 1.3L. usichukue injini za 990ccWadau habari ya Majukum? Naombeni ufafanuzi juu ya gari hii ya Suzuki swift Old Model, fuel consumption, matengenezo (spair) ipi gharama kuitunza katiya Swift, au vits old model?
Mkuu unashauri Suzuki ndiyo mkataba siyo? Vp gharama ya swift old model mpk unaipata mkononi kutoka nje au yard?We unataka kulinganisha Suzuki na Toyota? Kwenye Suzuki utapata spare kwa bei ghari lkn unakuwa na uhakika wa kukaa na hiyo spare sio kama Suzuki. Ukikaa na Suzuki huwezi kujuta. Hata bei zake zimechangamka siyo kama Toyota
Achana na shape mkuu, vitz rs/ clavia ni ngumu kakaSamahani mkuu, RS ndiyo gari gani hapo? Kuhusu Vitz old model naikubali japo shape yake haipo poa kama Suzuki Swift
vitz rs ya cc 1290 inatumia mafuta lita 1 kwa km ngapi mkuuRS iko vizuri sana kwa muonekano,ila nadhani engine yake ina cc kubwa kidogo kuliko Vitz ya kawaida...
Chukua Suzuki Swift engine yake pamoja na udogo wake inavumilia sana.Sasa Mkuu unashauri nichukue Gari gani na kipato changu cha kuunga unga? Mana Subaru n.k siwezi.... Mm naweza jibana kwenye hivi vidogo....je Ist, Raum engine zake kubwa?
Saaana tu mkuu. (Ref. IT)Inayo uwezo wa kwenda Dar Songea hata kwa mwezi mara 1? Mana huwa naambatana na safari ndefu
Magari ya IT si yanakwenda Zambia toka Dar? Bila shaka yanapita Tunduma. Zambia nako si kuna Suzuki Swift? Jiulize zilikwendaje huko?Umemaanisha nini Mkuu?
Ahsnte sana kiongozi. Vp khs manunuzi katiya Suzuki Swift old model na Raum zinatofautiana sana? Used AbroadSuzuki swift old model ni nzuri sana inatumia vizur mafuta. Kuna ndugu yangu anayo anatumia wastani wa lita 3.5 kwa kilometa 50.
Spare zake ni ghali lakini zinakaa muda mrefu.
Ina space ya kutosha kuweka mizigo na abiri anakaa vizuri siti za mbele na za nyuma.
All the best
Huyu jamaa alinunua miaka 10 iliyopita kwa milion 7 hadi kuichukua Dar.Ahsnte sana kiongozi. Vp khs manunuzi katiya Suzuki Swift old model na Raum zinatofautiana sana? Used Abroad