Wajuzi wa mambo ya ujenzi

Kama ni nyumba ya vyumba vitatu jiko na vyoo ndani andaa tofali 2,500 mawe trip 9 hizi Lori za size 4.5 mchanga, halafu tafuta million 1.2 unapata fundi anakujengea kuanzia msingi hadi kunyanyua boma lote, material na gharama za ufundi zitaangukia kwenye Kama 6M inabaki kupaua tu na kuendeleza jengo unajikusanya tena, achana na huyo fundi wa 1.8M kwenye msingi tu atakutapisha damu.
Dar hawajengei mawe sana sana
 
Habarini ndugu zangu,

Nataka kuanza kujenga nyumba ya kuishi, maeneo ni Dar es Salaam, naombeni mbinu bora ya kufanya ujenzi katika angle ya kuwalipa awa mafundi ujenzi, kuna fundi nimeongea nae kuhusu kuniwekea msingi tu wa mita 12 kwa 12 aliniambia almost milion 1.8 nimechoka na kuchoka wakuu.

Maana mimi uko sikufikiria kabisa, ebu nipeni njia bora ambayo wenzangu mnatumia kujenga kwa ubora na unafuu ukianzia na msingi kisha kupandisha nyumba.
Kama.uko serious kabisa naweza kukuunganisha na fundi aliyemijengea kwa bei chee kabisa. Fundi maridadi hana makuu. Baada ya kunijengea mimi kutokana na ubora wake alipata kazi zingine nne jirani yangu kwa kuwa watu walivutiwa na ubora wake. Bei yake ni nzuri sana. Kwa hiyo 12x12 kama kiwanja kiko poa atakufanyia kwa 1M lakini mnaweza kuongea zaidi haiwezi kuzidi 1.2M
 
Kama ni nyumba ya vyumba vitatu jiko na vyoo ndani andaa tofali 2,500 mawe trip 9 hizi Lori za size 4.5 mchanga, halafu tafuta million 1.2 unapata fundi anakujengea kuanzia msingi hadi kunyanyua boma lote, material na gharama za ufundi zitaangukia kwenye Kama 6M inabaki kupaua tu na kuendeleza jengo unajikusanya tena, achana na huyo fundi wa 1.8M kwenye msingi tu atakutapisha damu.
1.2M fundi ajenge msingi hadi boma? Wenzetu hizo nyumba mnazijengea wapi?
 
Tunauza mbao kwa bei ya jumla.Njoo ofisini kwetu TEGETA tukuhudumie kwa gharama nafuu sana:-
2*2 fut12=2500
2*2 fut12(treated) ya dawa=2800
2*2 fut18(treated) ya dawa=5000
2*4 fut12 treated(ya dawa)=5000
2*4 fut12 isiyo ya dawa=4500
1*6 fut12=5000
1*8 fut12=8500
1*8fut12 ya fisher board(treated)=9500
1*10 fut12=13500
1*10fut 12 fisher board( treated)=15500
2*4 fut18(treated)=9500
2*6 fut12=8000
1*4 fut12=2800
2*6 fut 18=19000
Tunapatikana muda wote kwa namba za simu zifuatazo:-
----0759630751
----0687371138
----0654830416

vile vile kuna huduma ya kuchana,kuranda na kusize mbao inapatikana ofisini kwetu
 
Back
Top Bottom