WAJUZI WA MAMBO: Naombeni Kujua Kirefu na Maana Halisi ya Neno hili

Pi Network

JF-Expert Member
Mar 22, 2016
290
319
M.I.L.F

Nimekuwa nikiliona mara kadha sehemu mbalimbali ila kirefu chake na maana yake huwa siipati, hivo wajuzi nijulisheni na mimi tafadhali.
 
Labda ungesema uliliona maeneo gani mkuu nafikiri ndio ingekuwa rahisi kusaidiwa!
Yasije kuwa yale yale ya kirefu cha JPM!!

Otherwise wewe ni Muangaliaji Porno uliyekubuhu

ahsante
 
Mkuu mara nyingi huwa naliona hilo neno sehemu mbalimbali lakini likiwa maana tofauti, ila nilikuwa sijawahi kujua maana yake halisi.

Hebu tazama huu wimbo kwa kubonyeza hiyo link.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom