Mathias Raymond Nyakapala
JF-Expert Member
- Mar 1, 2017
- 2,182
- 1,490
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mmeanza ngojera za freemason tena ....
Ni mto tu huo, ili akae comfortably. Huenda mgongo unasumbua akikaa muda mrefu.
Huwenda anachangamoto za kiafya especially anapokaa muda mrefu....
Umejibu vyema mwanangu kwa kuiba jibu langu.Ni mto tu huo, ili akae comfortably. Huenda mgongo unasumbua akikaa muda mrefu.
Hicho ni kwaajili ya kuu-support mgongo. Inawezekana Mh. Rais wetu SSH ana shida ya mgongo ndio maana wanamuwekea hicho kitu ili kum-support. Hakuna cha ajabu hapo.Mmeanza ngojera za freemason tena ....
sanitizer
Hicho ni kwaajili ya kuu-support mgongo. Inawezekana Mh. Rais wetu SSH ana shida ya mgongo ndio maana wanamuwekea hicho kitu ili kum-support. Hakuna cha ajabu hapo.
Utadanganywa tu bure maana hapa hakuna mtu wa taasisi ya Raisi. Hata majibu ya huku ni yale yale ya vijiweni zaidi na waganga njaa
Hapana nimeona nikatamani kufahamishwa na wajuzi wa mambo......wala sina hisia yoyote bado!
Hiyo ni back support, ni mto maalum.
Adanganywe ili iweje au kupata nini? Kama ni big deal basi kaulize ikuluUtadanganywa tu bure maana hapa hakuna mtu wa taasisi ya Raisi. Hata majibu ya huku ni yale yale ya vijiweni zaidi na waganga njaa
Vijana wa TISS wapo humu JF, tena wengi tu.Utadanganywa tu bure maana hapa hakuna mtu wa taasisi ya Raisi. Hata majibu ya huku ni yale yale ya vijiweni zaidi na waganga njaa