Wajuzi wa mambo naomba mnijuze hii kwenye kiti cha Rais Samia Suluhu maana yake nini?

Kiti cha Rais kina mamlaka (ndio maana hawezi kukikalia mtu ambae sio Rais

Nadhan mnakumbuka ile picha ya yule dogo mchekeshaji Idriss Sultan baada ya kukitumia kile kiti

Sasa tupo kwenye msiba kiti kama mamlaka kinaonesha kuomboleza hapo ni sawa na kujifunga kitambaa cheusi mkononi

Kuna matimaso watabishi, ila subirini muone baada ya maombolezo kama hiko kidude kitakuwepo
 
Mkuu kuwa serious......
 
Back
Top Bottom