incredible terminator
JF-Expert Member
- Aug 1, 2016
- 2,229
- 3,524
Habar wakuu,
Niende kwenye maada.
Kuna manzi flani ivi tulikutana safarini sasa katika kupiga stori tukajikuta wote kumbe tunaenda sehemu moja na cha kufurahisha tulikuwa tunashukia kituo kimoja.
Basi bana, tukapiga stori sana hadi tuliposhuka tukapeana namba kila mtu kaenda zake, lakini katika mawasiliano tukakutana na kwa mara hii tulikutana katika ziara ya kikubwa na hapa ndio najiuliza nilichokiona kwa dem huyu. Kwa mazingira niliyoyaona hakuwa mgeni wa hii mchezo ya kikubwa na inaonesha ndio hom ground kwake!
Sasa cha ajabu tumeingia uwanjani kabla ya mechi katika kuandaa vikosi nashangaa kitanda kimeloa chote mimi nikajua labda ni hali ya kawaida mwenzangu huko labda shimo limetema, ila chakushangaza ni kwamba kulowa kule hakukuwa kwa kawaida, ilikuwa ni kama maji kikombe kizima cha lita moja na baada ya mda nilikuja kunusa yale maji nikagundua ni mkojo.
Ila cha ajabu mwenzangu alikuwa hajalala kiasi kwamba ningesema labda ndio michezo yake ya kunyesha usiku ila cha ajabu alikuwa macho na wote tulikuwa tunashirikiana kuandaa vikosi kabla ya mechi! Sasa ndugu zangu wataalamu hali hii inakuwaje, ni kawaida hata kwa watu wengine labda mimi ndio nimeiona kwa mara ya kwanza au mwenzangu anamatatizo?
Binafsi baada ya lile tukio sijawai kumtafuta tena baada ya kuachana!