mwandende
JF-Expert Member
- Feb 16, 2017
- 10,518
- 19,883
Hivi mkuu kwenye really fight watu hawavunjani miguu au mikono?Akikujibu nitag Mkuu
Ingia Google uliza really fight ya Bruce na Chuck Norris,
Hivi unavyodhani kila kitu cha movie ni uongo?
Hivi mkuu kwenye really fight watu hawavunjani miguu au mikono?Akikujibu nitag Mkuu
Inaitwa style ya jackie chan''Style ya jackie chan inaitwaje?
Inaitwa style ya jackie chan''
Mkuu lile pigano la Bruce Lee na Chuck Noris Lina umovie mwingi.Unakataa kwann?au sababu ni movie?
Hivi mkuu vitu vyote vya kwnye movie ni fake?
Ingia Google tafuta Bruce na chuck Norris real fight.Mkuu lile pigano la Bruce Lee na Chuck Noris Lina umovie mwingi.
Pambano ambalo Mimi naliona liko real kwa kiasi kikubwa Ni pambano la Machael Jai White na Matt Mulins katika BLOOD AND BONE.
Mle mkono umechezwa bila longo longo, hadi unaona uhalisia Kama makosa ya:
★ balansi, (kuyumba)
★ kuweweseka (kukwepa au kusogea wakati hujapigwa)
★ uzito wa kuinuka n.k
Acha kudanganyika yule jamaa inasadikika chanzo kikubwa cha kifo chake ni uvimbe ambao ulijitengeneza kwenye ubongo wake kwa sababu alizidisha mazoezi kupita kiasi.Kitendo cha kukakamaa ni mbinu za kikarate kwenye kuutia ganzi mwili ili mwili uwe kama resistance kwa pigo kutoka kwa adui pia inasaidia kwenye kuachia effective pigo kwa adui.
Hizi stories mnapigiana vijiweni nawe unabeba kuleta huku. Leta credible source hapa. Msipende kuchukulia wote walio humu ni vilaza.Hakuna cha uvimbe wala nini, yule na mwanae Brandon walipotezwa kwa sababu maalum
Mmoja ( Bruce) aliangamizwa kwa sababu za kimaslahi na mwingine kuepuka kuja kulipiza kisasi
Eti Kata ni style?!Mkuu kama hufahamu kitu ni bora kukaa kimya.Alikua anatumia style inaitwa "KATA' hii ni style ngumu sana kujifunza...na tunaiweza wachache.
Nothing special?. Sio kweli. Post hiyo ya juu ndio lengo hasa. Ukijikaza sana ngumi ya adui ikikupata inadunda tu kama hajakupiga hivi,ni kama amepiga kwenye ngozi isio na uhai. Kingine kazi yoyote kama ya kupigana au kubeba vitu vizito haitakiwi ulegee au ubebe kisoft utaumia sana. Mfano mwingine hata mchezaji mpira anapokabana na mwingine lazima akakamae,ukiona mchezaji anaumia mara kwa mara ujue huyo hakazi mwili wake iwe kukaba au kukimbia,ni rahisi kutenguka. Hata mkimbia mbio tu lazima aukaze mwili ili asitenguke. Sasa hapo kadiri unavyoukaza mwili wako katika jambo husika ndivyo unazidi kujiimarisha zaidi kwenye hilo jambo. Ndio huyo Bruce LeeStyle tu hiyo, nothing special .
Style ya kurelax ilikuja kufanyiwa umodern ikawa kama ya kilevi, tizama Drunken Tai- ChiKujikaza ni mwembwe tu ili aonyeshe misuli yake.Kumbuka alikuwa ni mcheza sinema.Mpiganaji hodari mara nyingi anapigana akiwa amerelax ili asipoteze nguvu.Angalia wale ma-master wa kung fu jinsi wanavyokuwa wamerelax
Zile sauti za ajabu zinaitwa Kiai.Lengo lake ni kuongeza mzuka wa kupigana.
Oh yes...Style ya kurelax ilikuja kufanyiwa umodern ikawa kama ya kilevi, tizama Drunken Tai- Chi
Sawa doniyeni
Acha mbwembwe mbongo ushajifanya MchinaAlikua anatumia style inaitwa "KATA' hii ni style ngumu sana kujifunza...na tunaiweza wachache.
Kiuhalisia Bruce Lee anasifika kwa city hivi:Halafu wala hakuwa mkali kiviiile
Na wewe ni NINJA?