Farolito
JF-Expert Member
- Sep 10, 2018
- 11,634
- 26,373
Kale urudi kusubiri majibuJamani wale wa PCM mkuje huku! Mie hapa naenda zangu kula Makande maana njaa ishanikamata!
Ukiamka rudi tuendelee kupata shuleBaada ya kuziangalia hizo hesabu kizunguzungu kimenikamata..ngoja nilale nitarudi baadae.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ha ha tuanze na miatano tu tukipanda zaidi tutachanganyikiwaje kwa figure yeyote au ni kenye mia tano pekeake ?
Hapa ndio unazidi kutuchanga labda tusubiri maelezoHilo la kitoto jaribu hili
Ulienda wewe na marafiki zako wawili jumla wa3 cafeteria kula.
Baada ya kula
Bill ikaja 3000/=
Mkachangishana buku buku mkampa cashier.
ile mnataka kuondoka meneja wa cafe akamfokea cashier kuwa kawazidishia bill na mlitakiwa mlipe 2500/= sasa ile cashier anawarudishia jero chenchi mkagundua hamuwezi watu watatu kugawana jero kwahyo mkampa cashier 200/= halafu 300/= iliyobakia mkagawana mia mia.
Swali.
Wote mlirudishiwa 100/= baada ya kutoa buku kwahyo kila mmoja alispend 900/=
Kwahyo watatu mlispend 2700/=
Yule cashier mlimpa 200/=
Jumla 2900/=
ile shng. 100/= imeenda wapi?
SawaPesa yako taslimi ni ile iliyotumika(spend) hauwez ukajumlisha balance alafu mlinganyo ukakaa Sawa
Ukitaka kujua hilo, twende na mfano huu
Nilikua na 1000 nimetumia 100 imebak 900.
Alafu nikatumia 300 katika 900 imebak 600
Sasa nikijumlisha balance: 900+600=1500 kitu ambacho sio Sawa et nijiulize 500 imetoka wapi?
Najua hii awamu ya 5 sio mchezo, ila tutumie akil ya kawaida jamani
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa majibu mepesi kabisa, in Maths hakuna formula ambayo inasemaHii shilingi kumi imetoka wapi tena?
Tafadhali tusaidieni.View attachment 1347334
Sent using Jamii Forums mobile app
Unajichangaya mwenyewe.. Sh 2700 ni jumla ya pesa ya chakula na ile aliyopewa muhudumu.Hilo la kitoto jaribu hili
Ulienda wewe na marafiki zako wawili jumla wa3 cafeteria kula.
Baada ya kula
Bill ikaja 3000/=
Mkachangishana buku buku mkampa cashier.
ile mnataka kuondoka meneja wa cafe akamfokea cashier kuwa kawazidishia bill na mlitakiwa mlipe 2500/= sasa ile cashier anawarudishia jero chenchi mkagundua hamuwezi watu watatu kugawana jero kwahyo mkampa cashier 200/= halafu 300/= iliyobakia mkagawana mia mia.
Swali.
Wote mlirudishiwa 100/= baada ya kutoa buku kwahyo kila mmoja alispend 900/=
Kwahyo watatu mlispend 2700/=
Yule cashier mlimpa 200/=
Jumla 2900/=
ile shng. 100/= imeenda wapi?
Hiyo kila mmoja alispend 900 inahusisha pia hela aliyopewa cashierHilo la kitoto jaribu hili