Wajuzi wa Hesabu tupeni majibu hapa!

Farolito

JF-Expert Member
Sep 10, 2018
6,963
2,000
Hii shilingi kumi imetoka wapi tena?
Tafadhali tusaidieni.
IMG_20200205_094455.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Attachments

  • IMG_20200205_094455.jpeg
    File size
    37.2 KB
    Views
    0

mkorea

JF-Expert Member
Aug 16, 2016
3,120
2,000
Pesa yako taslimi ni ile iliyotumika(spend) hauwez ukajumlisha balance alafu mlinganyo ukakaa Sawa

Ukitaka kujua hilo, twende na mfano huu
Nilikua na 1000 nimetumia 100 imebak 900.
Alafu nikatumia 300 katika 900 imebak 600

Sasa nikijumlisha balance: 900+600=1500 kitu ambacho sio Sawa et nijiulize 500 imetoka wapi?

Najua hii awamu ya 5 sio mchezo, ila tutumie akil ya kawaida jamani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Citizen B

JF-Expert Member
May 13, 2019
4,966
2,000
Mbn hata 500 yenyewe ilikuwa balance... Ukiijumlisha hapo total balance ni 1010
Kwahyo hamna maana hata ya kuzijumlisha hizo balance
 
Citizen B

JF-Expert Member
May 13, 2019
4,966
2,000
Hilo la kitoto jaribu hili

Ulienda wewe na marafiki zako wawili jumla wa3 cafeteria kula.
Baada ya kula
Bill ikaja 3000/=
Mkachangishana buku buku mkampa cashier.
ile mnataka kuondoka meneja wa cafe akamfokea cashier kuwa kawazidishia bill na mlitakiwa mlipe 2500/= sasa ile cashier anawarudishia jero chenchi mkagundua hamuwezi watu watatu kugawana jero kwahyo mkampa cashier 200/= halafu 300/= iliyobakia mkagawana mia mia.
Swali.
Wote mlirudishiwa 100/= baada ya kutoa buku kwahyo kila mmoja alispend 900/=
Kwahyo watatu mlispend 2700/=
Yule cashier mlimpa 200/=
Jumla 2900/=
ile shng. 100/= imeenda wapi?
 
Hapa ndio unazidi kutuchanga labda tusubiri maelezo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Emiir

JF-Expert Member
Dec 15, 2013
25,669
2,000
Hela halisi ni ile uloyotumia sio balance.

cₐᵣₑₑₘ ᵀʰᵉ ᴸᵉᵍᵉⁿᴰ
cₐᵣₑₑₘ ᵀʰᵉ ᴸᵉᵍᵉⁿᴰ
cₐᵣₑₑₘ ᵀʰᵉ ᴸᵉᵍᵉⁿᴰ
 
Farolito

JF-Expert Member
Sep 10, 2018
6,963
2,000
Pesa yako taslimi ni ile iliyotumika(spend) hauwez ukajumlisha balance alafu mlinganyo ukakaa Sawa

Ukitaka kujua hilo, twende na mfano huu
Nilikua na 1000 nimetumia 100 imebak 900.
Alafu nikatumia 300 katika 900 imebak 600

Sasa nikijumlisha balance: 900+600=1500 kitu ambacho sio Sawa et nijiulize 500 imetoka wapi?

Najua hii awamu ya 5 sio mchezo, ila tutumie akil ya kawaida jamani

Sent using Jamii Forums mobile app
Sawa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
gspain

JF-Expert Member
Jul 11, 2015
2,760
2,000
Hii shilingi kumi imetoka wapi tena?
Tafadhali tusaidieni. View attachment 1347334

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa majibu mepesi kabisa, in Maths hakuna formula ambayo inasema
expenditure = remaining balance. Unless unieleze formula hii umeitoa wapi,otherwise the two figures can never be equated.

Na kama kwa namna yoyote ile utataka kuitumia hiyo equation,basi maana yake ni kuwa:

ukitumia 300 balance itabaki 300
ukitumia 90 balance itabaki 90
na itaendelea kwa mtiririko huo hadi mwisho. Hapo ukicheki LHS = RHS.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
mazojms

JF-Expert Member
Sep 22, 2017
1,499
2,000
Hilo la kitoto jaribu hili

Ulienda wewe na marafiki zako wawili jumla wa3 cafeteria kula.
Baada ya kula
Bill ikaja 3000/=
Mkachangishana buku buku mkampa cashier.
ile mnataka kuondoka meneja wa cafe akamfokea cashier kuwa kawazidishia bill na mlitakiwa mlipe 2500/= sasa ile cashier anawarudishia jero chenchi mkagundua hamuwezi watu watatu kugawana jero kwahyo mkampa cashier 200/= halafu 300/= iliyobakia mkagawana mia mia.
Swali.
Wote mlirudishiwa 100/= baada ya kutoa buku kwahyo kila mmoja alispend 900/=
Kwahyo watatu mlispend 2700/=
Yule cashier mlimpa 200/=
Jumla 2900/=
ile shng. 100/= imeenda wapi?
Unajichangaya mwenyewe.. Sh 2700 ni jumla ya pesa ya chakula na ile aliyopewa muhudumu.

- Jumla Sh 3000
- Ni kweli kila mmoja alitumia Sh 900
- Jmla ya matumizi = ( Sh 833 chakula + 67 mhudumu)×3
= Sh 2700

- Sh 3000 - Sh 2700 = Sh 300

Sent using Jamii Forums mobile app
 
gasgas

JF-Expert Member
Jan 25, 2015
1,382
2,000
Hilo la kitoto jaribu hili

Ulienda wewe na marafiki zako wawili jumla wa3 cafeteria kula.
Baada ya kula
Bill ikaja 3000/=
Mkachangishana buku buku mkampa cashier.
ile mnataka kuondoka meneja wa cafe akamfokea cashier kuwa kawazidishia bill na mlitakiwa mlipe 2500/= sasa ile cashier anawarudishia jero chenchi mkagundua hamuwezi watu watatu kugawana jero kwahyo mkampa cashier 200/= halafu 300/= iliyobakia mkagawana mia mia.
Swali.
Wote mlirudishiwa 100/= baada ya kutoa buku kwahyo kila mmoja alispend 900/=
Kwahyo watatu mlispend 2700/=
Yule cashier mlimpa 200/=
Jumla 2900/=
ile shng. 100/= imeenda wapi?
Hiyo kila mmoja alispend 900 inahusisha pia hela aliyopewa cashier

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom