Wajuzi nisaidiwe

kanewi

JF-Expert Member
Jun 12, 2012
298
199
Nimejikita nashawishika na tangazo la gazeti la mwananchi la kudounload app ya QR-code kwa matarajio ya kupata habari kwa urahisi, nimejikuta si kweli, tatizo langu nataka ku anstore inagoma,,, naomba ujuzi niachane nayo
 

Attachments

  • Screenshot_20171030-190113.png
    Screenshot_20171030-190113.png
    14.4 KB · Views: 27
Cheki storage yako punguza video za whatsapp, tumia clean master, kusafisha afu anza upya
 
mkuu kazi ya hio app ni kuscan hizo qr code na kukuonyesha kilichomo na sio kukupa habari.

ulitakiwa udownload hio app kisha uende kwenye gazeti la mwananchi na kufungua ukurasa ulipoona hilo tangazo

kisha kwenye simu yako unafungua hio app na kuclick scan qr code halafu itafunguka camera, elekezea hio camera kwenye gazeti ingefunguka site ya mwananchi na kuzipata hizo habari.

kuitoa hio apps nenda homescreen ambapo apps zote zipo, itafute hio app kisha iguse kwa muda kama sekunde 2 bila kuiachia, utaona kwa juu linatokea neno uninstall, bila kuachia drag icon yake hadi kwenye hilo neno kisha achilia, utaweza kuitoa.
 
Back
Top Bottom