Wajuzi naombeni ushauri kuhusu vyakula navyotakiwa kula katika hali hii ya ujauzito wa wiki 23

Mtoto amefariki alizaliwa na 4kgs

Nimenenepa sana ila nipo kwenye harakati za kujipunguza
Pole sana mkuu, najua inauma sana lakini wakati mwingine tunapaswa kushukuru kwani Mungu ndiye anapanga kutupea na kutunyang'anya.
 
Mke wangu hatari Viazi vitamu, mboga za majani, yee ni chips na soda tu, wali na nyama, na vitu vingine vingine cjui chocolate, biscuit, je atajifungua salama kweli? Ee Mungu baba msaidie..

Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app
 
Unajifanya mjuaji.
Kwanza mwanamke mjamzito anakua hana hisia za mapenzi. Jumlisha na ule ukubwa wa tumbo. Hata wewe mwanaume huwezi enjoy.
Sitaki kufundisha watoto wa skuli hapa. Kama una mke na umesha zaa watoto utayajua haya
 
Hello wanajf,

Bado siku 1/2 hivi tukacheze duduke

Naombeni mnijuze ni sawa? Mimi ni mjamzito wa week 23 sasa ratiba yangu ya kula kila siku

Asubuhi mayai mawili nachemsha na viazi vitamu viwili na maziwa nusu lita, saa2 asubuhi

Saa4 lazima ninywe uji (unga nimeutengeneza mwenyewe

Mchana lazima ugali mrenda (bamia na nyanya Chung tu) na samaki wale wadogo wa mafungu

Saa12 nanasi zima au tikiti peke yangu, Au machungwa mawili

Saa2 usiku magimbi naweka nazi

Hiyo ni ratiba yangu ya kila siku ni LAZIMA, nikibadilisha labda nikipata mgeni/wageni ila nikiwa mwenyewe ndio ratiba yangu

Sasa ni sawa kwa mama k jamani? Au kuna vitu namnyima mtoto jamani? Nimejitahidi mboga zingine labda maharage tu na kuku basi, wali siupendi dagaa ndio sili kabisaa

Saa4 usiku nameza FEFO


Sent from my iPhone using JamiiForums
FEFO azikusumbui ukimeza usikii kichefu chefu mana mke wangu tulikuwa tunasumbuana sana kwenye izo dawa alikuwa amezi hata kidogo yani mimba zote alikuwa amezi FEFO any way iyo ni mimba yako ya kwanza...???
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom