Wajuzi na wataalam wa canter ndogo - 2 tons naombeni ushauri

Architect E.M

JF-Expert Member
Nov 15, 2010
1,211
1,360
Wakuu habari ya muda,

Niko mbioni kuzichanga na kununua canter ya tani mbili kwa ajili ya shughuli zangu za kibiashara, nikaperuzi bei mitandaoni. kilichonishangaza, canter ya 1998 4D33 engine, inakuja around 28 million, wakati canter ya 2014 4P10 deisel engine inakuja kwa 22 million. Nikasema niulize, hizi za 2014 ni kwamba ni kimeo au zikoje? Ni ipi nzuri na ipi haitosumbua? Ninaomba msaada wa ushauri wakuu.

Picha za muonekano wa nje naziattach hapa.

Natanguliza shukrani za dhati.

Screen Shot 2020-03-31 at 09.00.00.png
Screen Shot 2020-03-31 at 09.04.15.png
 
4D33 is the best ingine to Canter,very strong,durable and fuel economy!pia ina chasis ngumu kwa kazi zenye shuruba.Na hiyo mil 28 ni cheap!iliyo tiper na spring juu inakuwa na bei zaidi. Jibane nunua hiyo,u wont regret. Kila la heri
 
Asante kwa ushauri mkuu,,,ninaona watu wengi wakishauri hivyo.. ila nilitaka kujua, hizi za kuanzia 2010 onwards zina shida gani?? mbona cheap sana mitandaoni lakini bado ni mpya zaidi?
 
Hayo niliyoyaeleza hapo mwanzo,kinyume chake sasa.. :D
Magari ya kisasa mengi kiujumla yako "soft".
 
4D33 is the best ingine to Canter,very strong,durable and fuel economy!pia ina chasis ngumu kwa kazi zenye shuruba.Na hiyo mil 28 ni cheap!iliyo tiper na spring juu inakuwa na bei zaidi. Jibane nunua hiyo,u wont regret. Kila la heri
Mkuu, tatizo nililonalo, bajet yangu haifiki... nachoka,, je ungenishauri nini kwa bajet ya around 20 m mkuu?? vipi kuhusu hizi dyana au liteace??? mizigo nitakayokua ninabeba haizidi tani mbili... na barabara sio mbaya sana.. je kwa bajet hiyo unanishaurije mkuu??
 
Attachments

  • Screen Shot 2020-04-01 at 09.38.30.png
    Screen Shot 2020-04-01 at 09.38.30.png
    72.9 KB · Views: 9
  • Screen Shot 2020-04-01 at 09.44.49.png
    Screen Shot 2020-04-01 at 09.44.49.png
    74.2 KB · Views: 9
Mkuu, tatizo nililonalo, bajet yangu haifiki... nachoka,, je ungenishauri nini kwa bajet ya around 20 m mkuu?? vipi kuhusu hizi dyana au liteace??? mizigo nitakayokua ninabeba haizidi tani mbili... na barabara sio mbaya sana.. je kwa bajet hiyo unanishaurije mkuu??
Hicho ki dyna cha kijani ni kigumu mno ila kina changamoto ya upatikanaji wa spare so kikizingua Unaweza kuzunguka siku mbili tatu kupata spare ila uzuri ukipata spare ni genuine

Sent using Jamii Forums mobile app
 
4D33 is the best ingine to Canter,very strong,durable and fuel economy!pia ina chasis ngumu kwa kazi zenye shuruba.Na hiyo mil 28 ni cheap!iliyo tiper na spring juu inakuwa na bei zaidi. Jibane nunua hiyo,u wont regret. Kila la heri
Mkuu naomba nijuzwe ya spring juu nitaitambuaje, nataka nichukue iniletee hesabu jooo
 
Mkuu, tatizo nililonalo, bajet yangu haifiki... nachoka,, je ungenishauri nini kwa bajet ya around 20 m mkuu?? vipi kuhusu hizi dyana au liteace??? mizigo nitakayokua ninabeba haizidi tani mbili... na barabara sio mbaya sana.. je kwa bajet hiyo unanishaurije mkuu??
Pole, ni ipi ambayo ni chaguo lako haswa?
 
Back
Top Bottom