Wajuvi na Wajuzi wa Draft

Robot la Matope

JF-Expert Member
Apr 10, 2015
6,997
13,608
Tujuze, utaanza na kete namba ngapi iwapo ni zamu yako kucheza na kete zako ni hizooo
Za
Njano
FB_IMG_1520679057133.jpg
 
kete ya kucheza ni no.2 hlf unakuja kucheza no.1(king) unairudisha nyuma(kamtego ili akijilenga urudishe ka kete kako kalikoliwa.
 
unacheza kete namba moja(ambayo ni king) unaiweka nyuma ya kete namba mbili kisha yeye atalazimika kula kete namba 3 baada ya hapo unaivuta kete namba mbili hadi kwenye kona

huku ukiacha kete namba 2 iliwe na ile kingi iliyokula kete namba 3 baada ya hapo ni zamu yako unakula king yake iliyokula kete zako mbili unapitia na king yake nyingine iliyoko mkabala na kete namba 4
 
Haya ya kwanza mstari wa pili toka chini umesema kete namba mbili?
 
sijakupata fresh mkuu hapa

unacheza kete namba moja(ambayo ni king) unaiweka nyuma ya kete namba mbili kisha yeye atalazimika kula kete namba 3 baada ya hapo unaivuta kete namba (((((((mbili ))))))))))hadi kwenye kona

huku ukiacha kete namba 2 iliwe na ile kingi iliyokula kete namba 3 baada ya hapo ni zamu yako unakula king yake iliyokula kete zako mbili unapitia na king yake nyingine iliyoko mkabala na kete namba 4

Hapo nimeweka mabano mkuu
 
unacheza kete namba moja(ambayo ni king) unaiweka nyuma ya kete namba mbili kisha yeye atalazimika kula kete namba 3 baada ya hapo unaivuta kete namba mbili hadi kwenye kona

huku ukiacha kete namba 2 iliwe na ile kingi iliyokula kete namba 3 baada ya hapo ni zamu yako unakula king yake iliyokula kete zako mbili unapitia na king yake nyingine iliyoko mkabala na kete namba 4

Mpaka hapo limeisha
 
Panga kete ushashinda.
 
Back
Top Bottom