Wajumbe zaidi CHADEMA waendelea kukemea Uhuni wa UKAWA

Mmeona ACT haina nguvu wala haijayumbisha chadema mmeamza mkakati wa kutoa matamko ya chadem wakati mko ACT. Kaeni huko huko muache UKAWA usonge mbele mtaisoma. Hayo matamko tuliyaona wakati zito anavuriwa uongozi mlijipachiga vyeo hata ambavyo havipo.
 
Vijana acheni upuuzi wenu wa kisiasa.Wa aina yenu ndiyo mtakaofanya hata sisi tukitaka kuwa wanasiasa tusiaminike. Fanyeni kazi halali mpate kipato chenu.Acheni utumwa wa kifikra. Kwa mtu yeyote makini, ni rahisi kutambua kuwa Mwandishi wa Tamko hili ni yule yule wa lililopita.Wanabadilika wahusika na majina ya mikoa tu.

Sarakasi kama hizi zilifanywa kipindi cha kusimamishwa uongozi kwa Zitto Kabwe na zikashindwa.Hamchoki? Endeleeni kusambaza Matamko ya kizushi wakati wenye akili timamu wakiendelea kufaidi keki ya Taifa hili.Shame!
kumbe ndo maana unajipendekeza CDM pole kaka komaa na fani yako utakufa kwa stress kwenye siasa unachokiona sicho.
 
Hivi yale matamko ya wenyeviti wa matawi wa CDM yaliishiaga wapi?.
 
FIKIRI MIGIYO
………………………………

KATIBU WA BAVICHA MKOA GEITA
MJUMBE WA BARAZA KUU LA CHADEMA TAIFA
MJUMBE WA MKUTANO MKUU CHADEMA TAIFA
MJUMBE WA KAMATI TENDAJI BAVICHA TAIFA.
MWENYEKITI WA MAKATIBU WA MABARAZA YA KANDA YA ZIWA MAGHARIBI
MKUU WA REDBRIGADE KANDA YA ZIWA.
Fikiri vipi mkuu, lini nifuate kadi ya ACT? cha msingi ni TUMBO kwanza then mengine yanafuata!!!
 
Hizi nazo ni tetesi! Mafisadi kazini.
Huyu mtoa tamko naye ameambiwa na wananchi aseme hayo au nae kasema yake?
Anasema Uongozi wa juu haujamshirikisha, yeye kawashirikisha wanachama kabla ya kuita harakati za ukawa ni Uhuni?
 
Wana jamvi nimegundua hawa jamaa walio timuliwa toka vyama vya upinzani wanapiga pesa toka kwa magamba kwakutoa vimatamko uchwara ambavyo havina sumu kwa wakati huu ukawa imepamba moto;jamaa wanajikusanya nakupokea chao zen wanatoa matamko huku wakijitambulisha toka chadema,cuf au nccr jamaa kuhaha kwa ccm kujiokoa toka katika katiba mpya yenye mfumo wa serikali 3 ulio pendekezwa hivyo wasaliti wamegeuza mtaji wao kuvuma pesa waweke heshima baa pamoja na kutumia pesa za usaliti kujenga vyama vyao vichanga
 
Wana jamvi nimegundua hawa jamaa walio timuliwa toka vyama vya upinzani wanapiga pesa toka kwa magamba kwakutoa vimatamko uchwara ambavyo havina sumu kwa wakati huu ukawa imepamba moto;jamaa wanajikusanya nakupokea chao zen wanatoa matamko huku wakijitambulisha toka chadema,cuf au nccr jamaa kuhaha kwa ccm kujiokoa toka katika katiba mpya yenye mfumo wa serikali 3 ulio pendekezwa hivyo wasaliti wamegeuza mtaji wao kuvuma pesa waweke heshima baa pamoja na kutumia pesa za usaliti kujenga vyama vyao vichanga
Nyie mnajichawia wenyewe halafu mnasingizia chama cha mapinduzi.
 
Kesho ya natoka matamko ya mtu atakayepitishwa Kasambala naye atajipa vyeo hivyo na kuwa yeye ni kutoka Nyanda za juu kusini......na mwingine wa kanda ya kati ataitwa Rashid Juma wa Kondoa ......
 
Ingekuwa vizuri kweli hawa watu wangekuja hapa watupe uwakika ili tuamini ukweli wa hili jambo.
 
Fikiri Migiyo njoo huku ACT-TZ, chama makini mahsuusi kabisa kwa kupambana na Chadema.

Vyama vingine sijui msajili anavisajili vya nini, hiki hakina mpango wa kushika dola na kuwaletea wananchi Maendeleo kupitia sera zake. Chenyewe sera zake ni kupambana na CDM! Hivi katiba yao inasema hivyo au ni wale wale wanaotuaminisha nchi hii ni ya ujamaa lkn matendo yote ni ubapari na wizi mtupu!
 
Kweli kabisa, inashangaza sana chama cha Upinzani kuamua kupambana na chama cha Upinzani kisa waanzilishi walifukuzwa. Huu ni ujinga wa kutumiwa tu. Sitaki kuamini kwamba hawa ACT sio CCM wengine maana wana mambo ya ccm. Ama lengo lao ni kuwa chama kikubwa cha upinzani na sio kuiondoa ccm, nawaita Wajinga
 
Back
Top Bottom