wajumbe wanapotaka kugraduate kwenye semina | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

wajumbe wanapotaka kugraduate kwenye semina

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Pdidy, Aug 5, 2009.

 1. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #1
  Aug 5, 2009
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,495
  Likes Received: 5,725
  Trophy Points: 280
  mmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmhhhhhh
  naona sasa hii imani imetushinda jamani...iweje kila siku baadhi ya wafanyakazi na ni wale wale ndio wanaoenda kwenye semina ....hasa za mikoani....kwani hakuna wengine wa kwenda..ndipo swali langu nikasema nililete hapa wanandugu je kuna kugraduate kwenye semina....embu mabosi wafikirieni na watu wa chini jamani...nao wameajiriwa kwa lengo zuri kama nyie iweje ......wachche wale wale ndio unawaona london...s.africa...bukoba nako wapo...mmmhhh tuwaangalie na wachini jamani..kila mtu anaitaji semina tuache kuangalia per diem...
   
 2. M

  Mfumwa JF-Expert Member

  #2
  Aug 5, 2009
  Joined: Aug 29, 2008
  Messages: 1,456
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  umelalamika hilo kazini?, ama huko unanung'unika kando bila kuwaambia ukweli, halafu unakuja zungumza hapa JF. Taja na ofisi na mifano.
   
Loading...